Kuhusu Elie Mpanzu kucheza mechi za Ligi ya Shirikisho

Yaana hata CAFCL huvuki makundi,tunza hii coment.
Wamesahau hayo mashindano ndo yamewafanya atleast kujulikana kama wapo...maana walikua wanakazi ya kukaribisha tuu wageni Mnyama akicheza zake Club Bingwa mfululu...
 
Wanaume tupo kiumeni
Wa kikeni ongeleeni hizo kitchen party
Ukishashiriki kunywa damu basi jua na,ww ni wale wale...ushamnywa Shirikisho huna pa kujificha..labda,mtupe zile medali...ahahahaaa
 
Wamesahau hayo mashindano ndo yamewafanya atleast kujulikana kama wapo...maana walikua wanakazi ya kukaribisha tuu wageni Mnyama akicheza zake Club Bingwa mfululu...

Washalamba Asali hao ,Kumbe vitatu vya Tabora vinalevya sanaaa.
 
Kwa hiyo mwaka juzi ulikua mmama sio? Saivi uke umefutika umeota uume?πŸ˜‚πŸ˜‚

Kweli Yanga wenye akili ni wawili tu
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Ukishashiriki kunywa damu basi jua na,ww ni wale wale...ushamnywa Shirikisho huna pa kujificha..labda,mtupe zile medali...ahahahaaa
Shirikisho ni aibu Kwa timu kama Simba
Jitoeni tu
 
Sisi tulitoka CAFCL tukaenda kuamsha huko CAFCC
Sasa nyie mmeshika nafasi ya 3
Mpo kikeni na Coast union
Bado hujajibu ile medali mliopeleka ikulu ilikuwa ya mashindano gani mpaka mbeze alipo simba sasa
Jibu kama huna mwiko nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…