Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona mkuu aise..kuna watu wanahela jmni.nipeleke basi mkuu nikalale japo usiku mmoja tu niweke historia😅😅Umeona presidential suite chumba milioni 28 kwa siku? Mkuu kabla hujafa room kama hizo ulale hata siku 1 tu kiongozi😂😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23]vibibi vya kitasha vyenye vitambi vya kuburuzaIkiwa ni pamoja na kugegeda Vibibi Polygon vya Kidhungu, mwisho wa siku atajikuta Mkimbizi wa Ngono kwa mabeberu.
four season ni bonge la hotel.ina kila kitu ndani kuanzia gym hadi salon ya kunyoa swimming etc.ile hotel ni kubwa hadi imekuwa kama kijiji katikakati ya pori.kuhusu mshahara ni mzuri ila km ni mwanamke anaweza kutumia vingine kujinufaisha zaidi haswa kwa sisi DG.ukifanya kazi pale unaweza ku make sana sababu wa na ku accomordate kila kitu bure ikiwa we ni staff.kuhusu misosi na mazaga zaga pale wiki tuu umenenepa maana ni kufuru.ndio hivyo sema hotel iko under management nyingine kama third part vile au subcontract.wageni wenye booking pale wanakuwa FULL PACKAGE hivyo tip kidogo inaweza kuwa ngumu kupata.
Hapana mkuuUlishawahi kuvijaribu mkuu[emoji28][emoji28][emoji28]
Mshahara bila ya kuwa na hizo tip kama alivyosema mkuu adden si changamoto mkuu!?
Mwambie aende akatafute maisha huko.Inamandhari nzuri sana na bei zao si za kitoto mkuu.
Habari za jiona wapendwa.poleni na majukumu ya maisha.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika..ninarafiki yangu (me)lakini sasa ni kama ndugu maana tulipotoana ni mbali.Yes.
Yuko kwenye hotel industry kwa muda kidogo na sasa anataka kwenda kufanya kazi Serengeti Four Seasons Hotel.kilichofanya nikaja hapa,kaniuliza kama najua maisha ya huko porini nikamjibu kuwa sifahamu lakini nitamsaidia kuja kuulizia hapa JF swala lake ili kupata msaada zaidi na ndivyo nimefanya.
Najua huku kuna watu tofauti tofauti ambao pengine wanafanya kazi huko,au walishawahi kufanya kazi huko,au hata sio wafanyakazi wa hapo Four Seasons Hotel Serengeti lakini wanafahamu.
Natanguliza shukrani za dhati🥂
... duh! Hicho chumba ni size ya Mohammad bin Salman bin Abdulaziz bin Abdul Rahman bin Faisal bin Turki bin Abdullah bin Mohammed bin Saud (Crown Prince wa Saudia) au Sheikh Hamdan bin Mohammed bin Rashid Al Maktoum (Mtawala wa Dubai).Umeona presidential suite chumba milioni 28 kwa siku? Mkuu kabla hujafa room kama hizo ulale hata siku 1 tu kiongozi😂😂😂😂
Hiyo full package ndani yake option ya tip imo,sema mgao ni mwisho wa mwezi km bonus mnapewa chap juu ya mshahara.four season ni bonge la hotel.ina kila kitu ndani kuanzia gym hadi salon ya kunyoa swimming etc.ile hotel ni kubwa hadi imekuwa kama kijiji katikakati ya pori.kuhusu mshahara ni mzuri ila km ni mwanamke anaweza kutumia vingine kujinufaisha zaidi haswa kwa sisi DG.ukifanya kazi pale unaweza ku make sana sababu wa na ku accomordate kila kitu bure ikiwa we ni staff.kuhusu misosi na mazaga zaga pale wiki tuu umenenepa maana ni kufuru.ndio hivyo sema hotel iko under management nyingine kama third part vile au subcontract.wageni wenye booking pale wanakuwa FULL PACKAGE hivyo tip kidogo inaweza kuwa ngumu kupata.