Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
- Thread starter
- #81
Jaman Naomba mnisaidie muongozo natamani kufanya sana kazi huko serengeti au hata ngorongoro lakin sijui niapply vipi mpaka nipate je wanaochukuliwa huko ni watu waliosoma hivi vyuo vya hapa vya hotel management au niwaliosoma college za nje pia kama kuna vigezo vingine naombeni mnifahamishe please
Ninachofahamu mkuu ni kwamba uwe unajua lugha ya kingereza,experience na hizo certficate mengine watajazia wajuzi wa mambo ninaimani wako huku wengi.
Na kuhusu huko serengeti pia fuatilia comments uliza unapokuwa hujui utasaidika tu.kila la kheri