Kuhusu Four Seasons Hotel ya Serengeti


Ninachofahamu mkuu ni kwamba uwe unajua lugha ya kingereza,experience na hizo certficate mengine watajazia wajuzi wa mambo ninaimani wako huku wengi.

Na kuhusu huko serengeti pia fuatilia comments uliza unapokuwa hujui utasaidika tu.kila la kheri
 
Ninachofahamu mkuu ni kwamba uwe unajua lugha ya kingereza,experience na hizo certficate mengine watajazia wajuzi wa mambo ninaimani wako huku wengi.

Na kuhusu huko serengeti pia fuatilia comments uliza unapokuwa hujui utasaidika tu.kila la kheri

Nakupm ndugu
 
Mkuu hakika wewe unaifaham vizuri 4 season.Mmiliki halali wa 4 season kuna jamaa anaitwa ali bawadi,ni tajiri mkubwa wa dubai pia ni mmiliki wa melia',yeye anachomiliki ni majengo na hisa kadhaa,hisa zingine zinabaki kwa wenye brand (majina Melia na 4 season).Kwenye industry ya hotel Melia' na 4season ni miongoni mwa makampuni ya hotel yanayolipa vizuri kuanzia ngazi ya chini (gardeners,waiters,barmen,housekeepers e.t.c)kiwango cha mshahara si chini ya 500k(Zanzibar na porini).
So ni kazi nzuri,kama anaweza maisha ya porini achangamkie fursa,japo sina taarifa kama 4 season wameshaanza kuita staff.
 
Cha msingi ni experience na kingereza,ila ukiweza kuongea lugha za kimataifa zaidi ya moja wewe ni "hot cake".
Japo sijajua unataka kitengo gani.
 

Na wewe unaonekana unaifahamu vizuri pia mkuu.hongera.unapokea wageni PM? Kama hutojali
 
Umeona presidential suite chumba milioni 28 kwa siku? Mkuu kabla hujafa room kama hizo ulale hata siku 1 tu kiongozi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Melia' Zanzibar presidential ya ni 10M per one night(sijui kwa sasa low season+corona itakua labda imeshuka pia wamefunga mpaka August)na kuna wageni wanaweza chukua for two weeks ama zaidi.Yes kuna watu wanapesa ikiwemo hawa waraabu ambao hawapo kwenye majarida ya wazungu.
 
Hongera mkuu.unauzoefu sana👊🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…