Kuhusu Godbless: Napingana na wengi, siungi mkono mashambulizi dhidi yake

ok.🐒
 
Ulinkafu kalumbu?
 
Watu hubadilika..
Yawezekana mwanzoni alikuwa na nia ya dhati..
Hata Lissu alifuatwa na Abdul amhonge pesa, Lissu akakataa.. si kila mtu ana roho aliyonayo Lissu...

What's so special about Lema?
Si Mungu ana mapungufu pia.. Watu walivyompambania Wenje kwenye uchaguzi miaka ya 2010, kuna siku mtu angeamini jamaa akahamia CCM na kuanza kuwatukana wana CHADEMA?
 
Mkuu tunaomba utufahamishe tusiofahamu hilo tafadhali sana.
Kombe alikuwa analink information kwa Mrema.

Kwahiyo si kwamba mtu akiwa upinzani ni haram kuwa karibu na mtu wa serikalini au Ccm.

Huyo Tundu Lisu kaka yake Allute Mughwai ni wakili wa Ccm.

Tundu Lisu aliposhambuliwa kwa risasi Dodoma ni mbunge wa Ccm Turky kutoka Zanzibar ndio alitowa dollar kwa haraka kukodi ndege ya kumkimbiza Lisu Nairobi.
 
Sikatai watu kubadilika lakini si kwa hizi weak evidence.
 
Maamaeee walahii!

hahah wanaanza kujitokeza mmoja baada ya mwingine, ukiwauliza watakwambia wao ni atheist, ni njia nyingine ya kuwadanganya kwamba mko pamoja lkn atheists (wote) ni de facto muslims/communists.
wengi labda hawajelewa bado kinachoendela tanzagiza siyo ccm vs chadema, au sijui katiba na demokrasia bali ni total islamization of tanzagiza na ndiyo maana wanaokwenda "kumpa pole" wanampigia goti i mean, kuna uhusiano gani kati ya kumpigia mtu magoti na kumpa pole kwa kufiwa? sijawahi kuiona wala kusikia popote pale kwamba aliyefiwa anapigiwa goti, hivyo sababu ya wao kupiga magoti ni kujisalimisha unconditionally kwa malkia ambaye anatawala kutokea zanzibar.

ni vita ngumu sana, kwa maana wanaopigana hawajamjua adui bado, lkn adui yao anamjua adui yake ...
 
Mbowe unafki ulimshinda akaondoka na Lema nae muda wake utafika
 
Muulize lema maswali haya utuletee majibu..
1. Nani alimwambia heche alirudishiwa pasipot yake na mombo? Aliwahi kumuuliza heche juu ya hili kabla ya juzi?
2. Ni kweli anaishi seacliff?
3. Kilichofanya asitoe neno la pole kwa heche kufiwa na dereva wake ni nini tofauti na sasa anapotoa pole kwa mtu hasimu anayepambana na chama chake..?
 
Asante kwa taarifa hii mkuu, sikuwahi kujua and it was 1996 (8 yrs old)
 
Neno "ushamba" umemaanisha nini?
 
Umewasilisha hoja yako vema sana mkuu.
 
Katika jambo Lemma amekosea big time ni kujibu tweet ya Sativa kwa kumhusiha Heche na Boss wa TISS, hapo ndiyo alipojifunua kabisa, na ukiangalia dodos za Katuga jana utaona kabisa kuna connection kwa wawili hao.
 
Naunga mkono hoja.
Ingawa lisemwalo lipo tusipuuze tuhuma dhidi ya wanaohisiwa usaliti.
 

hawa vijana ni watu wa ovyo sana
 
Naunga hoja yako mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…