Kuhusu huyu beki tatu wangu, uvumilivu utanishinda

😃😃
 
Mada kama hizi saazingine mi'husita kutoa ushauri kwa sababu watoa mada za sampuli hii, wengi hujitokeza kucheza na akili zetu tayari wakiwa katika mode ya kusherehekea ushindi wa utekelezaji wa maasi hayo wanayojifanya kuyalaani.

Mtu anafanya kwanza kitendo hicho cha dhambi, ndiyo anakuja kuomba ushauri wa kuzuia!

Ni wengi na siyo wote nimesema.

Wanapata starehe mara mbili:kufanya zinaa kwanza na kisha kucheza na akili za watu.

Kwamba wajanja wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…