Kuhusu Kauli ya Rais Samia juu ya uchumi wa Marekani na Tanzania

Kuhusu Kauli ya Rais Samia juu ya uchumi wa Marekani na Tanzania

Mimi Sihitaji Kujadili Hoja...
Lakini pia, tusisahau kuwa mabadiliko ya kweli huletwa na nidhamu ya kudai kwa hoja, si kwa mihemko au jazba. Watawala wakiwa makini, watachukua fursa hii kusikiliza na kujenga msingi wa haki, uwajibikaji na maridhiano – si kusubiri hali ivimbe.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Chawa lazima pia uwe mtumwa, hata boss akijambaa utasema amecheua!
 
Chawa lazima pia uwe mtumwa, hata boss akijambaa utasema amecheua!
Hiyo si kweli kabisa. Kila mtu ana uhuru wa kusema na kujieleza bila kuwa mtumwa wa mtu mwingine. Kucheza hofu au kujiamini ni tofauti sana na kuwa mtumwa.
 
Lakini pia, tusisahau kuwa mabadiliko ya kweli huletwa na nidhamu ya kudai kwa hoja, si kwa mihemko au jazba. Watawala wakiwa makini, watachukua fursa hii kusikiliza na kujenga msingi wa haki, uwajibikaji na maridhiano – si kusubiri hali ivimbe.
Sawa...!!
 
Kama una kichwa kibovu pita mbali na huu uzi.

Napenda kutumia uzi huu kuunga Mkono kauli ya Mh Dr Samia Suluhu Hassan kuhusu suala zima la ukuaji wa uchumi kama ifuatavyo.

Inafaa ieleweke kuwa
[emoji408] Tanzania vs Marekani – Uchumi kwa Mtazamo wa Ukuaji [emoji1241][emoji631]

Ndiyo, uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi zaidi ya Marekani! [emoji91]
[emoji3591] Tanzania: Ukuaji wa GDP 5.5-6% (2025)
[emoji3591] Marekani: 1.4%

Lakini kumbuka:
[emoji385] GDP kwa Kila Mtu:
— Marekani: 80,000
— Tanzania:1,187

[emoji410] Umaskini:
— Tanzania: 43%
— Marekani:
[emoji3541] Muundo wa Uchumi:
— Marekani: Viwanda & huduma (advanced)
— Tanzania: Sekta changa, viwanda bado vinaimarika

[emoji736] Kwa hiyo, Rais Samia alikuwa sahihi kusema “uchumi wetu unakua kuliko Marekani” — kwa kasi ya ukuaji. Lakini bado tuna safari ndefu kwenye maendeleo ya viwanda, kupunguza umaskini na kuinua kipato cha mwananchi mmoja mmoja.

#Uchumi #TanzaniaVsUSA #SamiaSuluhu #GDP #Maendeleo
Wakati tunakua niliwahi kusikia story kuwa kuna watu wanazamia majuu kwenda kufanya kazi ya kuwatawaza wazee kila wanapojisaidia. Yaani wao wanakaa stand buy kusubiri mzee ajisaidie wao wamtawaze
 
Kama una kichwa kibovu pita mbali na huu uzi.

Napenda kutumia uzi huu kuunga Mkono kauli ya Mh Dr Samia Suluhu Hassan kuhusu suala zima la ukuaji wa uchumi kama ifuatavyo.

Inafaa ieleweke kuwa
📊 Tanzania vs Marekani – Uchumi kwa Mtazamo wa Ukuaji 🇹🇿🇺🇸

Ndiyo, uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi zaidi ya Marekani! 🔥
➡️ Tanzania: Ukuaji wa GDP 5.5-6% (2025)
➡️ Marekani: 1.4%

Lakini kumbuka:
💵 GDP kwa Kila Mtu:
— Marekani: 80,000
— Tanzania:1,187

📉 Umaskini:
— Tanzania: 43%
— Marekani: <10%

⚙️ Muundo wa Uchumi:
— Marekani: Viwanda & huduma (advanced)
— Tanzania: Sekta changa, viwanda bado vinaimarika

✅ Kwa hiyo, Rais Samia alikuwa sahihi kusema “uchumi wetu unakua kuliko Marekani” — kwa kasi ya ukuaji. Lakini bado tuna safari ndefu kwenye maendeleo ya viwanda, kupunguza umaskini na kuinua kipato cha mwananchi mmoja mmoja.

#Uchumi #TanzaniaVsUSA #SamiaSuluhu #GDP #Maendeleo
Mnaweza singeli pamoja na Simba na yanga. Umeona GDP ya USA lakini? Acheni kumdanganya kizimkaz
 
Kubeza hakubadilishi ukweli. Ukiachana na siasa, takwimu zinaonesha uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi ukilinganishwa na nchi nyingi za Afrika. Unaweza kuwa na maoni yako kuhusu Samia, lakini maendeleo hayawezi kufichwa kwa kejeli. Hoja zijibiwe kwa hoja.
Wananchi hawali takwimu. Takwimu nyingi ni za kupikwa kwa sababu hazionyeshi reality on the ground.
 
Wananchi hawali takwimu. Takwimu nyingi ni za kupikwa kwa sababu hazionyeshi reality on the ground.
Takwimu ni zao la utafiti na utafiti hupingwa kwa utafiti. Kama haujafanya utafiti unakosa grounds za kukosoa utafiti waliofanya wenzako hata kama wamepika data.
 
Back
Top Bottom