Kuhusu Kauli ya Rais Samia juu ya uchumi wa Marekani na Tanzania

Wakati tunakua niliwahi kusikia story kuwa kuna watu wanazamia majuu kwenda kufanya kazi ya kuwatawaza wazee kila wanapojisaidia. Yaani wao wanakaa stand buy kusubiri mzee ajisaidie wao wamtawaze
Hao watu walikuelezea kienyeji sana. Mambo hayapo hivyo.
 
Kama una kichwa kibovu pita mbali na huu uzi.

Napenda kutumia uzi huu kuunga Mkono kauli ya Mh Dr Samia Suluhu Hassan kuhusu suala zima la ukuaji wa uchumi kama ifuatavyo.

Inafaa ieleweke kuwa
📊 Tanzania vs Marekani – Uchumi kwa Mtazamo wa Ukuaji 🇹🇿🇺🇸

Ndiyo, uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi zaidi ya Marekani! 🔥
➡️ Tanzania: Ukuaji wa GDP 5.5-6% (2025)
➡️ Marekani: 1.4%

Lakini kumbuka:
💵 GDP kwa Kila Mtu:
— Marekani: 80,000
— Tanzania:1,187

📉 Umaskini:
— Tanzania: 43%
— Marekani: <10%

⚙️ Muundo wa Uchumi:
— Marekani: Viwanda & huduma (advanced)
— Tanzania: Sekta changa, viwanda bado vinaimarika

✅ Kwa hiyo, Rais Samia alikuwa sahihi kusema “uchumi wetu unakua kuliko Marekani” — kwa kasi ya ukuaji. Lakini bado tuna safari ndefu kwenye maendeleo ya viwanda, kupunguza umaskini na kuinua kipato cha mwananchi mmoja mmoja.

#Uchumi #TanzaniaVsUSA #SamiaSuluhu #GDP #Maendeleo

Peleka upumbavu wako huko, ni sawa na kusema mtoto anakuwa urefu haraka kuliko Baba yake, wakati Baba! It is not relevant hata kidogo
 
Haya mambo ya uchumi yana utaalamu wake na wataalamu wake, usilete mifano yako ya uchochoroni huko.
 
Wewe Mbweko, kwa hiyo kama Biashara yako ya nyaya yenye mtaji wa 50,000 inakuwa kwa asilimia 90% uchumi wako unafanya Vizuri zaidi ya mfanya biashara wa Mafuta wa mtaji wa 100m, Kwa sababu biashara yake inakuwa kwa asilimia 20??? Unaona upumbavu wako????
 
Ni kweli kulinganisha ukuaji wa biashara kunahitaji muktadha sahihi. Lakini asilimia ya ukuaji huonyesha kasi ya maendeleo, si ukubwa wa biashara. Mfano wako unaonyesha tofauti ya kiwango, lakini hauondoi maana ya ukuaji wa haraka kwa biashara ndogo. Ni muhimu tujadili kwa staha na hoja badala ya matusi.
 
Yeye alieleza hivyo? hakuna cha kujadili wala, umekuja kututapeki na namba zako ukifikiri sisi hatuna akili
 
Hakuna aliyekuita hapa kwenye huu uzi bwashee. Pia hakuna mwenye lengo la kukutapeli.
Yeye alieleza hivyo? hakuna cha kujadili wala, umekuja kututapeki na namba zako ukifikiri sisi hatuna akili
B
 
✅ Kwa hiyo, Rais Samia alikuwa sahihi kusema “uchumi wetu unakua kuliko Marekani” — kwa kasi ya ukuaji. Lakini bado tuna safari ndefu kwenye maendeleo ya viwanda, kupunguza umaskini na kuinua kipato cha mwananchi mmoja mmoja.

#Uchumi #TanzaniaVsUSA #SamiaSuluhu #GDP #Maendeleo
Samia alisema uchumi wetu unakua au unafanya vizuri kuliko US na EU?

Na pili,kumbuka Samia alikuwa anaongea katika context kwamba hatuhitaji misaada toka US na EU kwa sababu uchumi wetu uko vizuri. Sasa watu kama nyie ndio mnaharibu kufikiri kwa raisi wetu.Mnamsifia kavaa nguo nzuri kumbe anamwaga radhi hadharani
 
Back
Top Bottom