Kuhusu Kauli ya Rais Samia juu ya uchumi wa Marekani na Tanzania

Sasa wewe kama msomi(sina uhakika) ni lazima na unatakiwa utambue kuwa yule ni mwanasiasa hivyo katika uwasilishaji wake lazima atachomeka na porojo za hapa na pale. So you have to stick to facts. Achana na kauli zake za kisiasa.
Samia alisema uchumi wetu unakua au unafanya vizuri kuliko US na EU?

Na pili,kumbuka Samia alikuwa anaongea katika context kwamba hatuhitaji misaada toka US na EU kwa sababu uchumi wetu uko vizuri. Sasa watu kama nyie ndio mnaharibu kufikiri kwa raisi wetu.Mnamsifia kavaa nguo nzuri kumbe anamwaga radhi hadharani
Wewe
 
Kama una kichwa kibovu pita mbali na huu uzi.

Napenda kutumia uzi huu kuunga Mkono kauli ya Mh Dr Samia Suluhu Hassan kuhusu suala zima la ukuaji wa uchumi kama ifuatavyo.

Inafaa ieleweke kuwa
📊 Tanzania vs Marekani – Uchumi kwa Mtazamo wa Ukuaji 🇹🇿🇺🇸

Ndiyo, uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi zaidi ya Marekani! 🔥
➡️ Tanzania: Ukuaji wa GDP 5.5-6% (2025)
➡️ Marekani: 1.4%

Lakini kumbuka:
💵 GDP kwa Kila Mtu:
— Marekani: 80,000
— Tanzania:1,187

📉 Umaskini:
— Tanzania: 43%
— Marekani: <10%

⚙️ Muundo wa Uchumi:
— Marekani: Viwanda & huduma (advanced)
— Tanzania: Sekta changa, viwanda bado vinaimarika

✅ Kwa hiyo, Rais Samia alikuwa sahihi kusema “uchumi wetu unakua kuliko Marekani” — kwa kasi ya ukuaji. Lakini bado tuna safari ndefu kwenye maendeleo ya viwanda, kupunguza umaskini na kuinua kipato cha mwananchi mmoja mmoja.

#Uchumi #TanzaniaVsUSA #SamiaSuluhu #GDP #Maendeleo
Acha upuuzi bro, tunachoangalia, ni ujumbe aliokuwa anataka, kuwafikishia wanazengo, wanazenge hawana elimu ya, hayo ma GDP,
Ukiwaambia uchumi wa, tz unakuwa kwa kasi kuliko US, wanaelewa kuwa, bongo tuna maisha mazuri kuliko US kitu ambacho ni uongo wa kishetani, hata, kama unakuwa hauna,, maana, yoyote,timu moja ya basketball ya, NBA, imeuzwa, kwa, tilioni 30Tsh, wakati makusanyo ya bongo kwa mwaka ni tilioni 29! Timu moja tu inatulisha kwa, mwaka mzima! Harafu kenge wenu,anataka kuwaaminisha wabongo kuwa tupo vzr kuliko US,
Kwanza kaangalie ubalozi, wa, US pale Dar linganisha na, ubalozi, wa, bongo Huko US!
 
Ki vipi wakati ni wezi na tegemezi wanaowahimiza mabinti zao kuolewa na chasaka kama chuma ulete tokana na uvivu?
Nitolee mfano wa Mchagga tegemezi duniani. Mimi najua ni moja ya kabila ambalo lime dominate sekta binfasi hapa nchini. Watz wengi sana wameajiriwa kwenye taasisi za wachagga.
 
Acha upuuzi bro, tunachoangalia, ni ujumbe aliokuwa anataka, kuwafikishia wanazengo, wanazenge hawana elimu ya, hayo ma GDP,
Ukiwaambia uchumi wa, tz unakuwa kwa kasi kuliko US, wanaelewa kuwa, bongo tuna maisha mazuri kuliko US kitu ambacho ni uongo wa kishetani, hata, kama unakuwa hauna,, maana, yoyote,timu moja ya basketball ya, NBA, imeuzwa, kwa, tilioni 30Tsh, wakati makusanyo ya bongo kwa mwaka ni tilioni 29! Timu moja tu inatulisha kwa, mwaka mzima! Harafu kenge wenu,anataka kuwaaminisha wabongo kuwa tupo vzr kuliko US,
Kwanza kaangalie ubalozi, wa, US pale Dar linganisha na, ubalozi, wa, bongo Huko US!
Hiyo jamìi ina vijana kibao waliomaliza vyuo vikuu na vya kati. Jukumu lao ni kusaidia jamii zao kupata ufafanuzi na taarifa sahihi ya mambo mbalimbali yannayoendelea kwenye jamii.
 
Sasa wewe kama msomi(sina uhakika) ni lazima na unatakiwa utambue kuwa yule ni mwanasiasa hivyo katika uwasilishaji wake lazima atachomeka na porojo za hapa na pale. So you have to stick to facts. Achana na kauli zake za kisiasa.

Wewe
Kuna mambo hufanyi jokee, na kama anafikiri Tanzania nzima inapomzikiliza ana fursa za kufanya joke then she is not fit for purpose

Na body language za joke zinaeleweka. Alikuwa serious lakini hakujua anachokisema
 
Kati ya Trump na Samia who makes more jokes when address their respective public ?
 
Na ujambazi na wizi vipi bila kusahau kupenda vya bure hadi kuuza mabinti zenu?
Wewe umewahi kufanyiwa ujambazi na mchagga ? Au ni story za kukariri unakuwa nazo miaka na miaka ?
 
Wote hawafanyi jokes, na wote wanaongea wasiyoyajua.
Hapo kwenye wasiyoyajua, sikubaliani na wewe. Wao personally wanaweza kuwa na maarifa pungufu ila wana mtaji mkubwa wa watu wanaoweza kuwapa taarifa wanazozihitaji.
 
Kama una kichwa kibovu pita mbali na huu uzi.

Napenda kutumia uzi huu kuunga Mkono kauli ya Mh Dr Samia Suluhu Hassan kuhusu suala zima la ukuaji wa uchumi kama ifuatavyo.

Inafaa ieleweke kuwa
📊 Tanzania vs Marekani – Uchumi kwa Mtazamo wa Ukuaji 🇹🇿🇺🇸

Ndiyo, uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi zaidi ya Marekani! 🔥
➡️ Tanzania: Ukuaji wa GDP 5.5-6% (2025)
➡️ Marekani: 1.4%

Lakini kumbuka:
💵 GDP kwa Kila Mtu:
— Marekani: 80,000
— Tanzania:1,187

📉 Umaskini:
— Tanzania: 43%
— Marekani: <10%

⚙️ Muundo wa Uchumi:
— Marekani: Viwanda & huduma (advanced)
— Tanzania: Sekta changa, viwanda bado vinaimarika

✅ Kwa hiyo, Rais Samia alikuwa sahihi kusema “uchumi wetu unakua kuliko Marekani” — kwa kasi ya ukuaji. Lakini bado tuna safari ndefu kwenye maendeleo ya viwanda, kupunguza umaskini na kuinua kipato cha mwananchi mmoja mmoja.

#Uchumi #TanzaniaVsUSA #SamiaSuluhu #GDP #Maendeleo
Kule Iringa na Njombe kuna dawa inaitwa mufya, ilitumiwa sana na wajerumani miaka hiyo, usiombe ulishwe
 
🤣🤣
Wewe Mbweko, kwa hiyo kama Biashara yako ya nyaya yenye mtaji wa 50,000 inakuwa kwa asilimia 90% uchumi wako unafanya Vizuri zaidi ya mfanya biashara wa Mafuta wa mtaji wa 100m, Kwa sababu biashara yake inakuwa kwa asilimia 20??? Unaona upumbavu wako????
Mfano mzuri
 
Yaaani apo ni sawa kujitia kidole afu unanusa usikie km kunanuka au la!.
 
Back
Top Bottom