Lakini pia, tusisahau kuwa mabadiliko ya kweli huletwa na nidhamu ya kudai kwa hoja, si kwa mihemko au jazba. Watawala wakiwa makini, watachukua fursa hii kusikiliza na kujenga msingi wa haki, uwajibikaji na maridhiano β si kusubiri hali ivimbe.Mimi Sihitaji Kujadili Hoja...
Daktari wa nini?
Honorary doctorate.Daktari wa nini?
Kama ile ya Msukuma?Honorary doctorate.
Hiyo si kweli kabisa. Kila mtu ana uhuru wa kusema na kujieleza bila kuwa mtumwa wa mtu mwingine. Kucheza hofu au kujiamini ni tofauti sana na kuwa mtumwa.Chawa lazima pia uwe mtumwa, hata boss akijambaa utasema amecheua!
Hiyo siifahamu. Ipoje ?Kama ile ya Msukuma?
Yake ikoje?Hiyo siifahamu. Ipoje ?
Sawa...!!Lakini pia, tusisahau kuwa mabadiliko ya kweli huletwa na nidhamu ya kudai kwa hoja, si kwa mihemko au jazba. Watawala wakiwa makini, watachukua fursa hii kusikiliza na kujenga msingi wa haki, uwajibikaji na maridhiano β si kusubiri hali ivimbe.
Jinsi ya kumshauri mtu asie na ubongo
Wakati tunakua niliwahi kusikia story kuwa kuna watu wanazamia majuu kwenda kufanya kazi ya kuwatawaza wazee kila wanapojisaidia. Yaani wao wanakaa stand buy kusubiri mzee ajisaidie wao wamtawazeKama una kichwa kibovu pita mbali na huu uzi.
Napenda kutumia uzi huu kuunga Mkono kauli ya Mh Dr Samia Suluhu Hassan kuhusu suala zima la ukuaji wa uchumi kama ifuatavyo.
Inafaa ieleweke kuwa
[emoji408] Tanzania vs Marekani β Uchumi kwa Mtazamo wa Ukuaji [emoji1241][emoji631]
Ndiyo, uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi zaidi ya Marekani! [emoji91]
[emoji3591] Tanzania: Ukuaji wa GDP 5.5-6% (2025)
[emoji3591] Marekani: 1.4%
Lakini kumbuka:
[emoji385] GDP kwa Kila Mtu:
β Marekani: 80,000
β Tanzania:1,187
[emoji410] Umaskini:
β Tanzania: 43%
β Marekani:
[emoji3541] Muundo wa Uchumi:
β Marekani: Viwanda & huduma (advanced)
β Tanzania: Sekta changa, viwanda bado vinaimarika
[emoji736] Kwa hiyo, Rais Samia alikuwa sahihi kusema βuchumi wetu unakua kuliko Marekaniβ β kwa kasi ya ukuaji. Lakini bado tuna safari ndefu kwenye maendeleo ya viwanda, kupunguza umaskini na kuinua kipato cha mwananchi mmoja mmoja.
#Uchumi #TanzaniaVsUSA #SamiaSuluhu #GDP #Maendeleo
Mnaweza singeli pamoja na Simba na yanga. Umeona GDP ya USA lakini? Acheni kumdanganya kizimkazKama una kichwa kibovu pita mbali na huu uzi.
Napenda kutumia uzi huu kuunga Mkono kauli ya Mh Dr Samia Suluhu Hassan kuhusu suala zima la ukuaji wa uchumi kama ifuatavyo.
Inafaa ieleweke kuwa
π Tanzania vs Marekani β Uchumi kwa Mtazamo wa Ukuaji πΉπΏπΊπΈ
Ndiyo, uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi zaidi ya Marekani! π₯
β‘οΈ Tanzania: Ukuaji wa GDP 5.5-6% (2025)
β‘οΈ Marekani: 1.4%
Lakini kumbuka:
π΅ GDP kwa Kila Mtu:
β Marekani: 80,000
β Tanzania:1,187
π Umaskini:
β Tanzania: 43%
β Marekani: <10%
βοΈ Muundo wa Uchumi:
β Marekani: Viwanda & huduma (advanced)
β Tanzania: Sekta changa, viwanda bado vinaimarika
β Kwa hiyo, Rais Samia alikuwa sahihi kusema βuchumi wetu unakua kuliko Marekaniβ β kwa kasi ya ukuaji. Lakini bado tuna safari ndefu kwenye maendeleo ya viwanda, kupunguza umaskini na kuinua kipato cha mwananchi mmoja mmoja.
#Uchumi #TanzaniaVsUSA #SamiaSuluhu #GDP #Maendeleo
ππNdio umeandika uharo gan
Wananchi hawali takwimu. Takwimu nyingi ni za kupikwa kwa sababu hazionyeshi reality on the ground.Kubeza hakubadilishi ukweli. Ukiachana na siasa, takwimu zinaonesha uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi ukilinganishwa na nchi nyingi za Afrika. Unaweza kuwa na maoni yako kuhusu Samia, lakini maendeleo hayawezi kufichwa kwa kejeli. Hoja zijibiwe kwa hoja.
Takwimu ni zao la utafiti na utafiti hupingwa kwa utafiti. Kama haujafanya utafiti unakosa grounds za kukosoa utafiti waliofanya wenzako hata kama wamepika data.Wananchi hawali takwimu. Takwimu nyingi ni za kupikwa kwa sababu hazionyeshi reality on the ground.
Kizimkazi ni nani ?Mnaweza singeli pamoja na Simba na yanga. Umeona GDP ya USA lakini? Acheni kumdanganya kizimkaz
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘Takwimu ni zao la utafiti na utafiti hupingwa kwa utafiti. Kama haujafanya utafiti unakosa grounds za kukosoa utafiti waliofanya wenzako hata kama wamepika data.