Kuhusu Kauli ya Rais Samia juu ya uchumi wa Marekani na Tanzania

Wakati tunakua niliwahi kusikia story kuwa kuna watu wanazamia majuu kwenda kufanya kazi ya kuwatawaza wazee kila wanapojisaidia. Yaani wao wanakaa stand buy kusubiri mzee ajisaidie wao wamtawaze
Hao watu walikuelezea kienyeji sana. Mambo hayapo hivyo.
 


Peleka upumbavu wako huko, ni sawa na kusema mtoto anakuwa urefu haraka kuliko Baba yake, wakati Baba! It is not relevant hata kidogo
 
Peleka upumbavu wako huko, ni sawa na kusema mtoto anakuwa urefu haraka kuliko Baba yake, wakati Baba! It is not relevant hata kidogo
Haya mambo ya uchumi yana utaalamu wake na wataalamu wake, usilete mifano yako ya uchochoroni huko.
 
Wewe Mbweko, kwa hiyo kama Biashara yako ya nyaya yenye mtaji wa 50,000 inakuwa kwa asilimia 90% uchumi wako unafanya Vizuri zaidi ya mfanya biashara wa Mafuta wa mtaji wa 100m, Kwa sababu biashara yake inakuwa kwa asilimia 20??? Unaona upumbavu wako????
 
Ni kweli kulinganisha ukuaji wa biashara kunahitaji muktadha sahihi. Lakini asilimia ya ukuaji huonyesha kasi ya maendeleo, si ukubwa wa biashara. Mfano wako unaonyesha tofauti ya kiwango, lakini hauondoi maana ya ukuaji wa haraka kwa biashara ndogo. Ni muhimu tujadili kwa staha na hoja badala ya matusi.
 

Yeye alieleza hivyo? hakuna cha kujadili wala, umekuja kututapeki na namba zako ukifikiri sisi hatuna akili
 
Hakuna aliyekuita hapa kwenye huu uzi bwashee. Pia hakuna mwenye lengo la kukutapeli.
Yeye alieleza hivyo? hakuna cha kujadili wala, umekuja kututapeki na namba zako ukifikiri sisi hatuna akili
B
 
Samia alisema uchumi wetu unakua au unafanya vizuri kuliko US na EU?

Na pili,kumbuka Samia alikuwa anaongea katika context kwamba hatuhitaji misaada toka US na EU kwa sababu uchumi wetu uko vizuri. Sasa watu kama nyie ndio mnaharibu kufikiri kwa raisi wetu.Mnamsifia kavaa nguo nzuri kumbe anamwaga radhi hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…