carter
JF-Expert Member
- Jan 23, 2009
- 3,664
- 4,259
Wacha uongo kijana.Hio part ilikuwa ya Kenya kutoka enzi za Ukoloni. So tunawaibia vipi?
Wewe mzee wenu alikuwa busy *akiunguza mboga*tu nairobi wala hakuwa na habari na huko pwani. Wala hakuwa anajua umuhimu wowote wa hiyo coastline. Alikuja kushituka in 70s ndio akachukua hilo eneo kimabavu.
Sasa hapo mlipata back up ya mabwana zenu, Ambao saiv hawawakubali baada ya kuona Wana share kitanda kimoja na mchina. Hivyo you are on your own now. Na mmeshapata fresh ndio maana mmejitoa ICJ na mnakimbila Meza ya majadiliano Kwa Sasa.. Kiburi, madharau na ujuaji kwishney...