passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Nikuhakikishie kwamba hamna uwezo hata hii Tanzania haijajengwa na wakoloni.nikuulize swali hii Pemba imeshawahi kuwa Kenya?Kwa mujibu wa sheria mpya ya mipaka ya ICJ, Pemba inaweza kuja kuwa mali ya Kenya. Ombeni Mungu tusiende ICJ. Kuna sheria mpya ya mipaka ambayo ICJ imeunda ambayo inaleta mtafaruku.