Wacha uongo kijana.Hio part ilikuwa ya Kenya kutoka enzi za Ukoloni. So tunawaibia vipi?
Wewe ndio muongo. Wakoloni yaani the British na the Italians walikaa chini na kugawana coastline baina ya Kenya na Somalia. Hata catographic maps ambayo Britain ilichora miaka mia moja iliyopita inaonyesha wazi kwamba eneo hilo lilikuwa la Kenya. Italy na Britain walikubaliana na wakachora mipaka. Sasa ICJ imeibuka na sheria mpya ya mipaka ambayo imesumbua nchi nyingi duniani ikiwemo Cameroon na NigeriaWacha uongo kijana.
Wewe mzee wenu alikuwa busy *akiunguza mboga*tu nairobi wala hakuwa na habari na huko pwani. Wala hakuwa anajua umuhimu wowote wa hiyo coastline. Alikuja kushituka in 70s ndio akachukua hilo eneo kimabavu.
Sasa hapo mlipata back up ya mabwana zenu, Ambao saiv hawawakubali baada ya kuona Wana share kitanda kimoja na mchina. Hivyo you are on your own now. Na mmeshapata fresh ndio maana mmejitoa ICJ na mnakimbila Meza ya majadiliano Kwa Sasa.. Kiburi, madharau na ujuaji kwishney...
Kwani kunyaland mnaitambua ICJ? Si mmejitoa kwenye hiyo mahakama na mmesema hamtatambua maamuzi yake yoyote?Kwa mujibu wa sheria mpya ya mipaka ya ICJ, Pemba inaweza kuja kuwa mali ya Kenya. Ombeni Mungu tusiende ICJ. Kuna sheria mpya ya mipaka ambayo ICJ imeunda ambayo inaleta mtafaruku.
Hatujajitoa kwenye mahakama ya ICJ. Tumejitoa kwenye kesi hio. Bado sisi ni mwanachama wa ICJ. Ila maoni yangu naona tujitoe ili tuwache kuwa mwanachama. Korti la kikoloni hilo.Kwani kunyaland mnaitambua ICJ? Si mmejitoa kwenye hiyo mahakama na mmesema hamtatambua maamuzi yake yoyote?
Hahaha nyang'au kashikika wallah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leta proof kwamba your claimed border line huko coastline ilikuwepo kitambo. Wewe unadhani Somalia walipeleka utetezi na ushahidi wa kitoto huko ICJ nini?Wewe ndio muongo. Wakoloni yaani the British na the Italians walikaa chini na kugawana coastline baina ya Kenya na Somalia. Hata catographic maps ambayo Britain ilichora miaka mia moja iliyopita inaonyesha wazi kwamba eneo hilo lilikuwa la Kenya. Italy na Britain walikubaliana na wakachora mipaka. Sasa ICJ imeibuka na sheria mpya ya mipaka ambayo imesumbua nchi nyingi duniani ikiwemo Cameroon na Nigeria, Bangladesh na India. Hii sheria mpya italeta myafaruku duniani kote.
Hahahaha Leo mkenya anaongelea ukoloni na ubeberu...Hatujajitoa kwenye mahakama ya ICJ. Tumejitoa kwenye kesi hio. Bado sisi ni mwanachama wa ICJ. Ila maoni yangu naona tujitoe ili tuwache kuwa mwanachama. Korti la kikoloni hilo.
Wewe huelewi. Border za Afrika zilichorwa na wakoloni. Ya Kenya na Somalia zilichorwa na Britain na Italy. Sasa ICJ ikaja na sheria mpya ya mipaka ambayo inabadilisha mipaka ya nchi nyingi. Soma hapaLeta proof kwamba your claimed border line huko coastline ilikuwepo kitambo. Wewe unadhani Somalia walipeleka utetezi na ushahidi wa kitoto huko ICJ nini?
Unadhani kama Mngekuwa na haki mngekimbia mahakama kama mlivyofanya? Mbona mnataka mkae mezani na kumalizana na Somalia nje ya mahakama?
😳😳🤣🤣Acha "pang'ang'a" wewe.....Kwa mujibu wa sheria mpya ya mipaka ya ICJ, Pemba inaweza kuja kuwa mali ya Kenya. Ombeni Mungu tusiende ICJ. Kuna sheria mpya ya mipaka ambayo ICJ imeunda ambayo inaleta mtafaruku.
Wewe nakwambia mzee wenu alikuwa busy huko nairobi akasahau Habari za pwani na mipaka ya bahari.Wewe huelewi. Border za Afrika zilichorwa na wakoloni. Ya Kenya na Somalia zilichorwa na Britain na Italy. Sasa ICJ ikaja na sheria mpya ya mipaka ambayo inabadilisha mipaka ya nchi nyingi. Soma hapa
Sisi tukienda ICJ na ICJ itumie sheria hii mpya basi Pemba itakuwa mali yetu. Naomba uelewe kinachojadiliwa hapa ni kati ya sheria ya enzi za ukoloni na sheria mpya ya ICJ. Pemba itakuwa mali yetu tukitumia hio sheria mpya.
Kwani kama Somalia alijimilikisha eneo hilo hio haimaanishi kwamba wao ndio wamiliki halali. Hata wewe ukienda kumiliki na kuishi kwenye ardhi ya wenyewe haina maana kwamba wewe ndio mmiliki halali. Anyway kamwambie Somalia aje achukue kipande cha bahari lake tuone kama ataweza.Wewe nakwambia mzee wenu alikuwa busy huko nairobi akasahau Habari za pwani na mipaka ya bahari.
Hiyo wazungu kuigawa Afrika ipo wazi. Ila nyie hamkujali bahari. Wazee wenu walikuja kushituka baadae sana. Na ndio ugomvi ukaanzia hapo. Mimi nauliza hilo eneo mlianza kulichukua na kulitambua lini kama kenya? Achana na wakoloni maana wakoloni hawakuwahi kuchora mipaka ya Tanzania, au Zimbabwe.
Hilo eneo mlilikumbuka baadae wakati somalia akiwa ameshajimilikisha kihalali. Hivyo kusema mtakuja TZ ku claim ni upuuzi tu. Mlishindwa kutetea eneo lenu mapema hadi Somalia akachukua ndio muweze kuanzisha fresh battle na Tz?
Somalia atapata kichapo kizito akijaribu kuleta ujinga.Wewe nakwambia mzee wenu alikuwa busy huko nairobi akasahau Habari za pwani na mipaka ya bahari.
Hiyo wazungu kuigawa Afrika ipo wazi. Ila nyie hamkujali bahari. Wazee wenu walikuja kushituka baadae sana. Na ndio ugomvi ukaanzia hapo. Mimi nauliza hilo eneo mlianza kulichukua na kulitambua lini kama kenya? Achana na wakoloni maana wakoloni hawakuwahi kuchora mipaka ya Tanzania, au Zimbabwe.
Hilo eneo mlilikumbuka baadae wakati somalia akiwa ameshajimilikisha kihalali. Hivyo kusema mtakuja TZ ku claim ni upuuzi tu. Mlishindwa kutetea eneo lenu mapema hadi Somalia akachukua ndio muweze kuanzisha fresh battle na Tz?
Anachukua au ndio mali yake? Niambie kwanini mmekimbia mahakama mnataka kumalizana mezani na Somalia.Kwani kama Somalia alijimilikisha eneo hilo hio haimaanishi kwamba wao ndio wamiliki halali. Hata wewe ukienda kumiliki na kuishi kwenye ardhi ya wenyewe haina maana kwamba wewe ndio mmiliki halali. Anyway kamwambie Somalia aje achukue kipande cha bahari lake tuone kama ataweza.
Bahati mbaya hamtakuwa mnapambana na Somalia pekee. Dunia haitaweza kuvumilia kuona nchi moja inataka kuchukua eneo la nchi nyingine kimabavuSomalia atapata kichapo kizito akijaribu kuleta ujinga.
Kwa sasa hata mambo ya kumalizana mezani utapitwa na wakati baada ya hukumu kutolewa na ICJ. Baada ya judgement, hakutakuwa na mazungumzo tena. Kenya itaanza rasmi kupatrol bahari yake. Kama Somalia wana ubavu basi wajaribu kusogea mipaka ya Kenya waone kitakachowapata.Anachukua au ndio mali yake? Niambie kwanini mmekimbia mahakama mnataka kumalizana mezani na Somalia.
ICJ haina nguvu ya kuimplement judgement zake. Judgement za ICJ zinaweza kupuuziliwa mbali bila madhara yoyote. ICJ haina army wala Navy. Ni wazee 13 wanaotoa amri huko Ulaya lakini vitu kwenye ground ni different.Bahati mbaya hamtakuwa mnapambana na Somalia pekee. Dunia haitaweza kuvumilia kuona nchi moja inataka kuchukua eneo la nchi nyingine kimabavu
We are waiting... For that to happen. But only if you have steel balls.Kwa sasa hata mambo ya kumalizana mezani utapitwa na wakati baada ya hukumu kutolewa na ICJ. Baada ya judgement, hakutakuwa na mazungumzo tena. Kenya itaanza rasmi kupatrol bahari yake. Kama Somalia wana ubavu basi wajaribu kusogea mipaka ya Kenya waone kitakachowapata.
Hizo dharau zenu na kiburi hizoo..ICJ haina nguvu ya kuimplement judgement zake. Judgement za ICJ zinaweza kupuuziliwa mbali bila madhara yoyote. ICJ haina army wala Navy. Ni wazee 13 wanaotoa amri huko Ulaya lakini vitu kwenye ground ni different.
Wakenya bado wanaishi kwenye migingo. Halafu Uganda tunatrade nao sana. Somalia hatuna uhusiano nao zaidi ya wao kutuma Al Shabab kufanya mashambulizi Kenya.We are waiting... For that to happen. But only if you have steel balls.
Hata migingo ilikwenda hivi hivi mkaishia kubweka bweka tu... [emoji23][emoji23]