Kuhusu Kesi ya ya Lissu wanasheria na wanaharakati waipeleke mahakama za kimataifa

NDOTO KAVU

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2011
Posts
1,513
Reaction score
1,121
Ndugu zangu kama hapa duniani kuna dhambi inayoumiza watu kama kunyanyasa, kumwonea au uwongo.

Nasema hivi nikiwa na maana sisi tunamfahamu mwenzetu LISSU anapewa kesi ambayo sisi tunajua ni uwongo kabisa.

Wanasheria wafungue Kesi mahakama za kimataifa kuishitaki Mahakama za Tanzania

Mimi sio mwanasheria ila nimeumia sana.
Asnanten
 
Kwa aina ya raia wa nchi hii, Lissu hakupaswa kukubali kujitoa na kuteseka kwa namna anavyoteseka.
 
Ndugu zangu kama hapa duniani kuna dhambi inayoumiza watu kama kunyanyasa, kumwonea au uwongo.

Nasema hivi nikiwa na maana sisi tunamfahamu mwenzetu LISSU anapewa kesi ambayo sisi tunajua ni uwongo kabisa.

Wanasheria wafungue Kesi mahakama za kimataifa kuishitaki Mahakama za Tanzania

Mimi sio mwanasheria ila nimeumia sana.
Asnanten
Mahakama gani hiyo ya kimataifa? Je, unaijua Vienna Convention?
 
Tetesi zinasema kuwa lissu atapatikana na hatia na atahukumiwa kunyongwa na itakapofika mwezi December utapita msamaha wa RAISI na atatoka........kwa mijibu wa katiba lissu hatakuwa na sifa za kugombea nafasi yeyote kutokana na kesi ya uhaini
 
Ndio umeoteshwa ivyo kwaiyo Lisu kipi kitamzuiya kukata rufaa kupinga hukumu ya uhaini..

kwani kupewa Msamaha ndio mwisho wa kudai haki yako !!

utakuwa mgeni wa mambo ya Sheria ..
 
Ndugu zangu kama hapa duniani kuna dhambi inayoumiza watu kama kunyanyasa, kumwonea au uwongo.

Nasema hivi nikiwa na maana sisi tunamfahamu mwenzetu LISSU anapewa kesi ambayo sisi tunajua ni uwongo kabisa.

Wanasheria wafungue Kesi mahakama za kimataifa kuishitaki Mahakama za Tanzania

Mimi sio mwanasheria ila nimeumia sana.
Asnanten
ILI IWEJE?
 
Aliyesema tutakinukisha siyo Lissu? Nyie ******* sk kikinuka kwl mtakuwa wa kwanza kupiga kelele mpk mpasuke mikundu.
 
Ndugu zangu kama hapa duniani kuna dhambi inayoumiza watu kama kunyanyasa, kumwonea au uwongo.

Nasema hivi nikiwa na maana sisi tunamfahamu mwenzetu LISSU anapewa kesi ambayo sisi tunajua ni uwongo kabisa.

Wanasheria wafungue Kesi mahakama za kimataifa kuishitaki Mahakama za Tanzania

Mimi sio mwanasheria ila nimeumia sana.
Asnanten
We kwl ni ndoto kavu, majina huumba. Kesi za jinai ni mikataba ya kimataifa? Sazingine bora ukae kimya
 
Back
Top Bottom