NDOTO KAVU
JF-Expert Member
- Feb 15, 2011
- 1,513
- 1,121
Ila vijana wanachungulia na wana hasira kifuani. Wengi lazima wabebe hasira kifuani hatujui li watawatafuta walengwa.Samia ni mwanamke katili sana
Kwa aina ya raia wa nchi hii, Lissu hakupaswa kukubali kujitoa na kuteseka kwa namna anavyoteseka.Ndugu zangu kama hapa duniani kuna dhambi inayoumiza watu kama kunyanyasa, kumwonea au uwongo.
Nasema hivi nikiwa na maana sisi tunamfahamu mwenzetu LISSU anapewa kesi ambayo sisi tunajua ni uwongo kabisa.
Wanasheria wafungue Kesi mahakama za kimataifa kuishitaki Mahakama za Tanzania
Mimi sio mwanasheria ila nimeumia sana.
Asnanten
Full stopKwa aina ya raia wa nchi hii, Lissu hakupaswa kukubali kujitoa na kuteseka kwa namna anavyoteseka.
Mahakama gani hiyo ya kimataifa? Je, unaijua Vienna Convention?Ndugu zangu kama hapa duniani kuna dhambi inayoumiza watu kama kunyanyasa, kumwonea au uwongo.
Nasema hivi nikiwa na maana sisi tunamfahamu mwenzetu LISSU anapewa kesi ambayo sisi tunajua ni uwongo kabisa.
Wanasheria wafungue Kesi mahakama za kimataifa kuishitaki Mahakama za Tanzania
Mimi sio mwanasheria ila nimeumia sana.
Asnanten
Fact🙏🙏💯Kwa aina ya raia wa nchi hii, Lissu hakupaswa kukubali kujitoa na kuteseka kwa namna anavyoteseka.
Ndio umeoteshwa ivyo kwaiyo Lisu kipi kitamzuiya kukata rufaa kupinga hukumu ya uhaini..Tetesi zinasema kuwa lissu atapatikana na hatia na atahukumiwa kunyongwa na itakapofika mwezi December utapita msamaha wa RAISI na atatoka........kwa mijibu wa katiba lissu hatakuwa na sifa za kugombea nafasi yeyote kutokana na kesi ya uhaini
Basi walimu watusaidie kuelimisha vijana wetu hii sumu ya waliopanda CCM.Hukumu za kwenye mahakama za kimataifa hazina meno.
ILI IWEJE?Ndugu zangu kama hapa duniani kuna dhambi inayoumiza watu kama kunyanyasa, kumwonea au uwongo.
Nasema hivi nikiwa na maana sisi tunamfahamu mwenzetu LISSU anapewa kesi ambayo sisi tunajua ni uwongo kabisa.
Wanasheria wafungue Kesi mahakama za kimataifa kuishitaki Mahakama za Tanzania
Mimi sio mwanasheria ila nimeumia sana.
Asnanten
Aliyesema tutakinukisha siyo Lissu? Nyie ******* sk kikinuka kwl mtakuwa wa kwanza kupiga kelele mpk mpasuke mikundu.Ndugu zangu kama hapa duniani kuna dhambi inayoumiza watu kama kunyanyasa, kumwonea au uwongo.
Nasema hivi nikiwa na maana sisi tunamfahamu mwenzetu LISSU anapewa kesi ambayo sisi tunajua ni uwongo kabisa.
Wanasheria wafungue Kesi mahakama za kimataifa kuishitaki Mahakama za Tanzania
Mimi sio mwanasheria ila nimeumia sana.
Asnanten
We kwl ni ndoto kavu, majina huumba. Kesi za jinai ni mikataba ya kimataifa? Sazingine bora ukae kimyaNdugu zangu kama hapa duniani kuna dhambi inayoumiza watu kama kunyanyasa, kumwonea au uwongo.
Nasema hivi nikiwa na maana sisi tunamfahamu mwenzetu LISSU anapewa kesi ambayo sisi tunajua ni uwongo kabisa.
Wanasheria wafungue Kesi mahakama za kimataifa kuishitaki Mahakama za Tanzania
Mimi sio mwanasheria ila nimeumia sana.
Asnanten
Umelelewa ovyoAliyesema tutakinukisha siyo Lissu? Nyie ******* sk kikinuka kwl mtakuwa wa kwanza kupiga kelele mpk mpasuke mikundu.
Msukuma gani wewe huna akili hivi..Aliyesema tutakinukisha siyo Lissu? Nyie ******* sk kikinuka kwl mtakuwa wa kwanza kupiga kelele mpk mpasuke mikundu.