ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Taarifa kama hizi huwa napenda zaidi link nijionee mwenyewe maana siku hizi tweet za kutengeneza kibao tu.
Na huyu Jamaa alikuwa anapenda sana kugawa Dola na magari.Aliwhi toa ma V8 zaidi ya 50 mwaka juzi huko kwao.View attachment 3681527Siku moja kabla ya ajali haya ndio matusi yake.
Taarifa Iko X huko na sasa baada ya Kifo imesambaa sana kwenye mediaTaarifa kama hizi huwa napenda zaidi link nijionee mwenyewe maana siku hizi tweet za kutengeneza kibao tu.
Mimi naamini zaidi akili yangu kuliko akili ya mtu mwingine.
Abdul, JK na Saa100, watajifunza kitu kutokana na ajali hiiView attachment 3681527Siku moja kabla ya ajali haya ndio matusi yake.
Alikuwa anajua anaondoka, hivyo akagawa pesa nyingiView attachment 3681527Siku moja kabla ya ajali haya ndio matusi yake.
Alijuaje anaondoka?Alikuwa anajua anaondoka, hivyo akagawa pesa nyingi
Mwanamama aliyefiwa na mchepuko wake ajiandae kufiwa na mtoto wake mpenzi wa kiume. Hatungoji amalize 40
Ninakubaliana na kauli hii! Huyo kijana asicheleweshwe unganisheni hapo na Riziwani, JK, Mjane,CDF & IGPMwanamama aliyefiwa na mchepuko wake ajiandae kufiwa na mtoto wake mpenzi wa kiume. Hatungoji amalize 40
Mimi nina mashaka sana, huyu mpaka tuone sura ya mwisho na kaburi ndio nitaamini ametolewa kafara la damuCha msingi amekufa 😂
Angezikwa leo leo, sisi Watanganyika tunacho cha kusema na kumwambia mungu Asante kwa hicho kidogoCha msingi amekufa 😂
Siku hizi watu wanachezesha sana kwa kutumia technolojiaTaarifa kama hizi huwa napenda zaidi link nijionee mwenyewe maana siku hizi tweet za kutengeneza kibao tu.
Mimi naamini zaidi akili yangu kuliko akili ya mtu mwingine.