Pre GE2025 Kuhusu kupokea fedha za Abdul, kutoka kwa Lissu kuna ukweli kidogo na uongo mwingi

Pre GE2025 Kuhusu kupokea fedha za Abdul, kutoka kwa Lissu kuna ukweli kidogo na uongo mwingi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ibu langu ni kuwa mkweli ni yule anayezungumza taarifa na siyo fumbo. Wenje, ama kwa ukweli au kumsingizia Lissu, alichokizungumza ni taarifa (statement). Lissu, hoja yake ilikaa kwenye mabano. Ilihitaji kufumbuliwa. Ndiyo maana anavyofumbua inabeba tafsiri ya afterthought.

Fumbo kubwa la Wenje hili hapa chini Manyanza : rekodi iko wapi?
Maneno mengi pumba tupu. Wanasema kuna rekodi ya hicho kikao cha Lissu kuthibitisha madai yake, kwanini hawataki kuitoa hiyo rekodi tujionee wenyewe nani ni mkweli na nani ni muongo
 
Mimi ndio niliyeanza kukuuliza "unajua maana ya rushwa?" bado ujatoa jibu

Wewe hujui tofauti ya "ujatoa" na "hujatoa". Kiswahili tu mgogoro.

Tuseme sijui, nataka unieleze wewe, rushwa ni nini?

Na unieleze, je, fadhila haiwezi kuwa rushwa?
 
Tuseme sijui, nataka unieleze wewe, rushwa ni nini?

Na unieleze, je, fadhila haiwezi kuwa rushwa?
Sasa kama hujui maana ya rushwa kwa nini unashupaza shingo?

Sio kila fadhila ni rushwa. Acha kukariri
 
Sasa kama hujui maana ya rushwa kwa nini unashupaza shingo.

Sio kila fadhila ni rushwa. Acha kukariri
Wapi nimesema sijui maana ya rushwa? Unajua kusoma kwa ufahamu wewe ngumbaru usiyejua hata kuandika Kiswahili?

Unaelewa "Socratic question" ni nini?
 
Lissu hakukataa hongo.

Alikataa hongo ya pesa akakubali hongo ya fadhila ya Abdul kumsaidia apate mafao yake.

Kwa maneno yake mwenyewe.

That was influence peddling.

Lissu should do better than that.
Atleast he has guts to reject, apart from him who else angeweza? Kwa wana siasa wa sasa?
 
😀😀🤣Haya tuambie nini maana ya rushwa
Nikiandika utaweza kusoma?

Rushwa ni kitendo cha kutoa, kupokea, au kuomba pesa, kitu cha thamani au fadhila ili kuathiri mambo fulani ya kumpatia mtu faida isiyo ya haki kutoka kwa mtu mwingine anayesimamia au mwenye ukaribu na wanaosimamia mambo ya kijamii na kumfanya mtu kufanya mambo kinyume na haki, wajibu na kanuni za uwazi na uthabiti wa uadilifu.

Rushwa si lazima iwe pesa, inaweza kuwa ya ngono, fadhila etc.

Tundu Lissu akikataa rushwa ya pesa, akakubali rushwa ya fadhila.

Hujapangua hii hoja.
 
Atleast he has guts to reject, apart from him who else angeweza? Kwa wana siasa wa sasa?
Hakukataa hongo, alikataa hongo ya pesa.

Alikubali hongo ya fadhila kutoka kwa Abdul katika mchakato wa kumpatia pesa zake.
 
Kinachonishangaza taasisi kubwa Kama Chadema inashindwa kushugurikia mnadai yao kwa taratibu zinazojulikana na kuamua kutumia mtoto wa rais. Hapo Kuna swali la kujiuliza.
 
Hakukataa hongo, alikataa hongo ya pesa.

Alikubali hongo ya fadhila kutoka kwa Abdul katika mchakato wa kumpatia pesa zake.
i dont beleive it, if that was the case asinge announce publick like that knowing itamchafua, not his fan but kusema alikubali aina ya rushwa akaacha pesa no such thing, lissu huyu aliekuwa akichangiwa pesa ya kununua gari?
 
Back
Top Bottom