Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hebu nieleweshe rushwa ni nini?Hivi unailewa rushwa ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu nieleweshe rushwa ni nini?Hivi unailewa rushwa ni nini?
ibu langu ni kuwa mkweli ni yule anayezungumza taarifa na siyo fumbo. Wenje, ama kwa ukweli au kumsingizia Lissu, alichokizungumza ni taarifa (statement). Lissu, hoja yake ilikaa kwenye mabano. Ilihitaji kufumbuliwa. Ndiyo maana anavyofumbua inabeba tafsiri ya afterthought.
Maneno mengi pumba tupu. Wanasema kuna rekodi ya hicho kikao cha Lissu kuthibitisha madai yake, kwanini hawataki kuitoa hiyo rekodi tujionee wenyewe nani ni mkweli na nani ni muongo
Usikomaze shingo kwa vitu/mambo usivyovijuaHebu nieleweshe rushwa ni nini?
Unajuaje sivijui? Hujajibu, rushwa ni nini?Usikomaze shingo kwa vitu/mambo usivyovijua
Mimi ndio niliyeanza kukuuliza "unajua maana ya rushwa?" bado ujatoa jibuUnajuaje sivijui? Hujajibu, rushwa ni nini?
You obviously do not know a Socratic question when you see it.
Mimi ndio niliyeanza kukuuliza "unajua maana ya rushwa?" bado ujatoa jibu
Sasa kama hujui maana ya rushwa kwa nini unashupaza shingo?Tuseme sijui, nataka unieleze wewe, rushwa ni nini?
Na unieleze, je, fadhila haiwezi kuwa rushwa?
Wapi nimesema sijui maana ya rushwa? Unajua kusoma kwa ufahamu wewe ngumbaru usiyejua hata kuandika Kiswahili?Sasa kama hujui maana ya rushwa kwa nini unashupaza shingo.
Sio kila fadhila ni rushwa. Acha kukariri
Akilipwa ataturudishia tuliomchangia au itakuwa ndio faida yake?Kuna sehemu Lissu amesema ana kudai?
😀😀🤣Haya tuambie nini maana ya rushwaWapi nimesema sijui maana ya rushwa? Unajua kusoma kwa ufahamu wewe ngumbaru usiyejua hata kuandika Kiswahili?
Ulitoa kwa minajiri ya kulipwa?Akilipwa ataturudishia tuliomchangia au itakuwa ndio faida yake?
Atleast he has guts to reject, apart from him who else angeweza? Kwa wana siasa wa sasa?Lissu hakukataa hongo.
Alikataa hongo ya pesa akakubali hongo ya fadhila ya Abdul kumsaidia apate mafao yake.
Kwa maneno yake mwenyewe.
That was influence peddling.
Lissu should do better than that.
Simdai ila na yeye kwa nini atafute faida baada ya kuchangiwaUlitoa kwa minajiri ya kulipwa?
Nikiandika utaweza kusoma?😀😀🤣Haya tuambie nini maana ya rushwa
Hakukataa hongo, alikataa hongo ya pesa.Atleast he has guts to reject, apart from him who else angeweza? Kwa wana siasa wa sasa?
Mkubaliano yenu yalikuwa ya namna gani kabla ya kumchangia?Akilipwa ataturudishia tuliomchangia au itakuwa ndio faida yake?
i dont beleive it, if that was the case asinge announce publick like that knowing itamchafua, not his fan but kusema alikubali aina ya rushwa akaacha pesa no such thing, lissu huyu aliekuwa akichangiwa pesa ya kununua gari?Hakukataa hongo, alikataa hongo ya pesa.
Alikubali hongo ya fadhila kutoka kwa Abdul katika mchakato wa kumpatia pesa zake.