OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Watu tunakomaa humu kumlaumu Tulia na Samia kwa kuiletea hasara serikali kwa uwepo wa kina Mdee bungeni, kumbe wale wabunge ni wake wa Kigaila na Salimu Mwalimu?
Yaani hawa wasaidizi wa Mbowe ndio waandae ushahidi mahakamani wa kuwatoa wake zao bungeni? Pamoja na mambo mengi ya hovyo ya Mbowe lakini hili limenisikitisha sana.
BAWACHA wanaandamana kulazimisha kina Mdee watolewe bungeni kumbe Mbowe na wasaidizi wake wanajua mchakato mzima? Sisi tunakaza magego humu kukilaumu serikali, kumbe walioruhusu huu uhuni tupo nao?
Mbowe hapaswi kuondolewa kwa kura, anatakiwa kupinduliwa