LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Kiukweli wale manaibu wawili walipaswa kujiuzulu mara moja, mwalimu na kigaila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema inahitaji kusafishwa kwa kweli, makandokando ni mengi kwa kweli.Lissu apewe mikoba ya mbowe .Acha kutetea ujinga, lazima chama kijisafishe.
Halima Mdee aliwahi kunukuliwa kwa kauli yake kuwa inshu ya ubunge wao ina baraka za mwenyekiti.
Mbowe alikutana nao Nairobi kwa mapumziko mara tu baada ya kufukuzwa kwao na amekuwa akiwaalika nyumbani kwake kila Msimu wa mwaka mpya. Hoja hizi ukiunga dot na kauli ya Mdee unapata majibu.
Pili, inakuwaje wake wa viongozi wakubwa wawe waasi huku waume zao wakiendelea kuwa katika nyadhifa zao?
Kwa nini hakuivunja Sekretarieti ya chama ili kuondoa mgongano wa maslahi?
Haa umenikumbusha kimpetupetu, kipindu pindu,Watu tunakomaa humu kumlaumu Tulia na Samia kwa kuiletea hasara serikali kwa uwepo wa kina Mdee bungeni, kumbe wale wabunge ni wake wa Kigaila na Salimu Mwalimu?
Yaani hawa wasaidizi wa Mbowe ndio waandae ushahidi mahakamani wa kuwatoa wake zao bungeni? Pamoja na mambo mengi ya hovyo ya Mbowe lakini hili limenisikitisha sana.
BAWACHA wanaandamana kulazimisha kina Mdee watolewe bungeni kumbe Mbowe na wasaidizi wake wanajua mchakato mzima? Sisi tunakaza magego humu kukilaumu serikali, kumbe walioruhusu huu uhuni tupo nao?
Mbowe hapaswi kuondolewa kwa kura, anatakiwa kupinduliwa
Mshalipwa kuja kumchafua mwamba haya pigwni kazi vijanaWatu tunakomaa humu kumlaumu Tulia na Samia kwa kuiletea hasara serikali kwa uwepo wa kina Mdee bungeni, kumbe wale wabunge ni wake wa Kigaila na Salimu Mwalimu?
Yaani hawa wasaidizi wa Mbowe ndio waandae ushahidi mahakamani wa kuwatoa wake zao bungeni? Pamoja na mambo mengi ya hovyo ya Mbowe lakini hili limenisikitisha sana.
BAWACHA wanaandamana kulazimisha kina Mdee watolewe bungeni kumbe Mbowe na wasaidizi wake wanajua mchakato mzima? Sisi tunakaza magego humu kukilaumu serikali, kumbe walioruhusu huu uhuni tupo nao?
Mbowe hapaswi kuondolewa kwa kura, anatakiwa kupinduliwa
Mmelipwa shingapi kuja kumchafua mwamba
Mwalimu mkewe ajadiliwe kwenye chama halafu Mwalimu asimwambie mkewe kweli?Kiukweli wale manaibu wawili walipaswa kujiuzulu mara moja, mwalimu na kigaila
Dhambi yake kukubaliana na Mbowe biashara yao na Lowassa.Afu sir Godi nae, Lema ndio angemfanya Nyerere wa hii nchi,Lema ni mtu mkweli na muungwana sana.
😂 😂 😂 Ila chadema Aliewaita manyumbu hakukosea kabisa yani!Watu tunakomaa humu kumlaumu Tulia na Samia kwa kuiletea hasara serikali kwa uwepo wa kina Mdee bungeni, kumbe wale wabunge ni wake wa Kigaila na Salimu Mwalimu?
Yaani hawa wasaidizi wa Mbowe ndio waandae ushahidi mahakamani wa kuwatoa wake zao bungeni? Pamoja na mambo mengi ya hovyo ya Mbowe lakini hili limenisikitisha sana.
BAWACHA wanaandamana kulazimisha kina Mdee watolewe bungeni kumbe Mbowe na wasaidizi wake wanajua mchakato mzima? Sisi tunakaza magego humu kukilaumu serikali, kumbe walioruhusu huu uhuni tupo nao?
Mbowe hapaswi kuondolewa kwa kura, anatakiwa kupinduliwa
Baada ya kujifanya anawafukuza kwenye chama, akamuita Mdee Nairobi ili wayajengeMbowe ni mfanyabiashara aliyefanikiwa kufanya biashara na CCM kwa kipindi kirefu sana
Kwa hiyo mpaka leo hajui, na hajajua kwamba wasaidizi wake kwenye sekretariet yake wake zao na mahawara zao ndio wanahusika na covid 19?Ishu ya wabunge 19 Mbowe hajui anything
Hata wenyewe wabunge hawajui Nani amehusika na mpango mzima
Mbowe kaja kujua 3hrs before kuapishwa wale wabunge
Kwa hili namtetea
Kwa hiyo mpaka leo hajui, na hajajua kwamba wasaidizi wake kwenye sekretariet yake wake zao na mahawara zao ndio wanahusika na covid 19?
Kwa nini hadi leo hajaamua kukaa nao mbali kwa kuwatoa kwenye sekretariet yake?
Sherehe ya mwaka mpya Mbowe amewaalika Halima Mdee na Easter Bulaya nyumbani kwake lakini Msigwa hataki hata kumuona?
Baada ya kujuaa Mbowe amechukua hatua gani kukaa mbali na waume za hao wasaliti?
Ilikuaje akaruhusu viongozi waandamizi waendelee kuwa madarakani huku wake zao ni wasaliti wa Chama? Anahusika 100% huitaji pythogrous theorem kulijua hilo unless wewe unatoka machame
Duuh unaelewa ulichokiandika lakini?Ishu ya wabunge 19 Mbowe hajui anything
Hata wenyewe wabunge hawajui Nani amehusika na mpango mzima
Mbowe kaja kujua 3hrs before kuapishwa wale wabunge
Kwa hili namtetea
Ila kati ya hao covid 19 walikuwepo wake wa wajumbe wa sekretariet iliyoteuliwa naMbowe, manaibu katibu wakuu bara na Zanzibar. Baada ya kuona hivyo ni usaliti wa chama kwa nini wasiwatoe wake zao au kujiuzulu nafasi zao kwenye sekretariet ili kuepusha mgongano wa maslahi?Ndugu yangu
Mtu aliefanya mchakato wa COVID hajuliani
Hakuna mtu anamjua
Hata hao wakina halima hawamjui walikuwa wanaongea nae kwenye simu Tu
Hakuna mtu anajua tukio zima lilikuwaje trust me
Mbowe hajui kitu chochote, wala myika hakuna anachojua
Wakina halima walikuwa wanapigiwa simu na kuambiwa nenda sehemu flan utakuta gari flan nenda kachukue kitu flan
Mke wa Benson Kigaila na Salum Mwalimu. Kama siyo watoke na wakanushe kuwa Lema anadanganya, au wewe unayewajua tuambie hapana mke wa Kigaila ni fulani na mke wa Salum Mwalimu ni fulani ili tumbane Lema kwa kauli yakeMke wa Nani ni covid?
Wewe unaongea hear says
Huna ushahidi wowote
Mimi nakwambia kitu ambacho nimeshuhudia mwenyewe
So najua ninachokiongea
Wewe unaongea Kwa kuhisi na kuconect dotes but ujui ukweli wowote
Wakati kesi ya COVID inaendelea Mbowe alikuwa segerea wakina halima walienda kumsalimia Mzee Mbowe nusu atoe machozi wakati anawabembeleza wakina halima watoke bungeni
So Mbowe hakuna anachojua na hakuna mtu yoyote anajua mambo yalikuwaje mpaka Leo wapo bungeni
Mke wa Benson Kigaila na Salum Mwalimu. Kama siyo watoke na wakanushe kuwa Lema anadanganya, au wewe unayewajua tuambie hapana mke wa Kigaila ni fulani na mke wa Salum Mwalimu ni fulani ili tumbane Lema kwa kauli yake