Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Umeongea yote. Hata kugombea kwake analinda biashara.Mbowe ni mfanyabiashara aliyefanikiwa kufanya biashara na CCM kwa kipindi kirefu sana
1. Nilishindwa kumwelewa Lissu
2. Msigwa nilimwita majina yote mbaya.
3. Lakini Slaa alinifungua kwenye interviews zake jinsi Mbowe alivyowazunguka kumleta Lowasa.
4. Lema huyu nabii wa kweli amefunua mafumbo yote kabisa