OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Watu tunakomaa humu kumlaumu Tulia na Samia kwa kuiletea hasara serikali kwa uwepo wa kina Mdee bungeni, kumbe wale wabunge ni wake wa Kigaila na Salimu Mwalimu?
Yaani hawa wasaidizi wa Mbowe ndio waandae ushahidi mahakamani wa kuwatoa wake zao bungeni? Pamoja na mambo mengi ya hovyo ya Mbowe lakini hili limenisikitisha sana.
BAWACHA wanaandamana kulazimisha kina Mdee watolewe bungeni kumbe Mbowe na wasaidizi wake wanajua mchakato mzima? Sisi tunakaza magego humu kukilaumu serikali, kumbe walioruhusu huu uhuni tupo nao?
Mbowe hapaswi kuondolewa kwa kura, anatakiwa kupinduliwa

Ndiyo maana mimi nasema hivi:Watu tunakomaa humu kumlaumu Tulia na Samia kwa kuiletea hasara serikali kwa uwepo wa kina Mdee bungeni, kumbe wale wabunge ni wake wa Kigaila na Salimu Mwalimu?
Yaani hawa wasaidizi wa Mbowe ndio waandae ushahidi mahakamani wa kuwatoa wake zao bungeni? Pamoja na mambo mengi ya hovyo ya Mbowe lakini hili limenisikitisha sana.
BAWACHA wanaandamana kulazimisha kina Mdee watolewe bungeni kumbe Mbowe na wasaidizi wake wanajua mchakato mzima? Sisi tunakaza magego humu kukilaumu serikali, kumbe walioruhusu huu uhuni tupo nao?
Mbowe hapaswi kuondolewa kwa kura, anatakiwa kupinduliwa
Ukiona mnyika yuko kimya, jua kuna jambo.Pia tujiulize, ni nani aliyefoji sahihi ya KM Mnyika?
Mchakato wote ni mkubwa kwa Covid 19 kufanya peke yao bila msaada wa ndani.
Mimi mwenyewe baada ya kumsikiiza Lema jana nilitota jasho....Mbowe hapana ni ccm na Fisadi KuuWatu tunakomaa humu kumlaumu Tulia na Samia kwa kuiletea hasara serikali kwa uwepo wa kina Mdee bungeni, kumbe wale wabunge ni wake wa Kigaila na Salimu Mwalimu?
Yaani hawa wasaidizi wa Mbowe ndio waandae ushahidi mahakamani wa kuwatoa wake zao bungeni? Pamoja na mambo mengi ya hovyo ya Mbowe lakini hili limenisikitisha sana.
BAWACHA wanaandamana kulazimisha kina Mdee watolewe bungeni kumbe Mbowe na wasaidizi wake wanajua mchakato mzima? Sisi tunakaza magego humu kukilaumu serikali, kumbe walioruhusu huu uhuni tupo nao?
Mbowe hapaswi kuondolewa kwa kura, anatakiwa kupinduliwa
Mnyika pia naye anajua kila kitu...mxiewUkiona mnyika yuko kimya, jua kuna jambo.
Mchakato ulichezwa na jpm na ccm ila bila shaka akina mbowe walijua kabisa. Wengine na wale wanawake wengine waliokataa kumbe walikuwa wanawachora.
Mbowe alikata Jina la demu wa Mnyika yule Upendo ndio kisa cha JJ kupanic na kumuhamishia Peneza CCM 😂😂😂Mnyika pia naye anajua kila kitu...mxiew
Acheni kumtisha mjomba anguWatu tunakomaa humu kumlaumu Tulia na Samia kwa kuiletea hasara serikali kwa uwepo wa kina Mdee bungeni, kumbe wale wabunge ni wake wa Kigaila na Salimu Mwalimu?
Yaani hawa wasaidizi wa Mbowe ndio waandae ushahidi mahakamani wa kuwatoa wake zao bungeni? Pamoja na mambo mengi ya hovyo ya Mbowe lakini hili limenisikitisha sana.
BAWACHA wanaandamana kulazimisha kina Mdee watolewe bungeni kumbe Mbowe na wasaidizi wake wanajua mchakato mzima? Sisi tunakaza magego humu kukilaumu serikali, kumbe walioruhusu huu uhuni tupo nao?
Mbowe hapaswi kuondolewa kwa kura, anatakiwa kupinduliwa
Mie hata kufuatilia nimeacha kabisa. Nasakaa tonge tu. Watanzania ndiyo walewale, CCM kama chadema....labda tufe wote wabaki watoto wadogoWatu tunakomaa humu kumlaumu Tulia na Samia kwa kuiletea hasara serikali kwa uwepo wa kina Mdee bungeni, kumbe wale wabunge ni wake wa Kigaila na Salimu Mwalimu?
Yaani hawa wasaidizi wa Mbowe ndio waandae ushahidi mahakamani wa kuwatoa wake zao bungeni? Pamoja na mambo mengi ya hovyo ya Mbowe lakini hili limenisikitisha sana.
BAWACHA wanaandamana kulazimisha kina Mdee watolewe bungeni kumbe Mbowe na wasaidizi wake wanajua mchakato mzima? Sisi tunakaza magego humu kukilaumu serikali, kumbe walioruhusu huu uhuni tupo nao?
Mbowe hapaswi kuondolewa kwa kura, anatakiwa kupinduliwa
Mnyika alizungukwa na sahihi yake ilifojiwa wanajua asingekubali.Mnyika pia naye anajua kila kitu...mxiew
Hujui kitu.Ishu ya wabunge 19 Mbowe hajui anything
Hata wenyewe wabunge hawajui Nani amehusika na mpango mzima
Mbowe kaja kujua 3hrs before kuapishwa wale wabunge
Kwa hili namtetea
BAWACHA wanaandamana kulazimisha kina Mdee watolewe bungeni kumbe Mbowe na wasaidizi wake wanajua mchakato mzima? Sisi tunakaza magego humu kukilaumu serikali, kumbe walioruhusu huu uhuni tupo nao?Watu tunakomaa humu kumlaumu Tulia na Samia kwa kuiletea hasara serikali kwa uwepo wa kina Mdee bungeni, kumbe wale wabunge ni wake wa Kigaila na Salimu Mwalimu?
Yaani hawa wasaidizi wa Mbowe ndio waandae ushahidi mahakamani wa kuwatoa wake zao bungeni? Pamoja na mambo mengi ya hovyo ya Mbowe lakini hili limenisikitisha sana.
BAWACHA wanaandamana kulazimisha kina Mdee watolewe bungeni kumbe Mbowe na wasaidizi wake wanajua mchakato mzima? Sisi tunakaza magego humu kukilaumu serikali, kumbe walioruhusu huu uhuni tupo nao?
Mbowe hapaswi kuondolewa kwa kura, anatakiwa kupinduliwa
Hujui kitu.
Pia tujiulize, ni nani aliyefoji sahihi ya KM Mnyika?