Kuhusu Mbowe na COVID 19 kula deal, nimesikitika sana-sana

Mbowe ni mfanyabiashara aliyefanikiwa kufanya biashara na CCM kwa kipindi kirefu sana
Umeongea yote. Hata kugombea kwake analinda biashara.
1. Nilishindwa kumwelewa Lissu
2. Msigwa nilimwita majina yote mbaya.
3. Lakini Slaa alinifungua kwenye interviews zake jinsi Mbowe alivyowazunguka kumleta Lowasa.
4. Lema huyu nabii wa kweli amefunua mafumbo yote kabisa
 
Ishu ya wabunge 19 Mbowe hajui anything

Hata wenyewe wabunge hawajui Nani amehusika na mpango mzima

Mbowe kaja kujua 3hrs before kuapishwa wale wabunge

Kwa hili namtetea
Acha kutetea ujinga, lazima chama kijisafishe.
Halima Mdee aliwahi kunukuliwa kwa kauli yake kuwa inshu ya ubunge wao ina baraka za mwenyekiti.
Mbowe alikutana nao Nairobi kwa mapumziko mara tu baada ya kufukuzwa kwao na amekuwa akiwaalika nyumbani kwake kila Msimu wa mwaka mpya. Hoja hizi ukiunga dot na kauli ya Mdee unapata majibu.
Pili, inakuwaje wake wa viongozi wakubwa wawe waasi huku waume zao wakiendelea kuwa katika nyadhifa zao?
Kwa nini hakuivunja Sekretarieti ya chama ili kuondoa mgongano wa maslahi?
 
Hata wewe ulikuwa unajua maana watu walikuwa wakisema unabisha!
 
Ishu ya wabunge 19 Mbowe hajui anything

Hata wenyewe wabunge hawajui Nani amehusika na mpango mzima

Mbowe kaja kujua 3hrs before kuapishwa wale wabunge

Kwa hili namtetea
Hivi Mbowe ana wake wangapi?
 
Mmetumwa na nani kumchafua Mh Mbowe ?
 
Ishu ya wabunge 19 Mbowe hajui anything

Hata wenyewe wabunge hawajui Nani amehusika na mpango mzima

Mbowe kaja kujua 3hrs before kuapishwa wale wabunge

Kwa hili namtetea
Ilikuaje akaruhusu viongozi waandamizi waendelee kuwa madarakani huku wake zao ni wasaliti wa Chama? Anahusika 100% huitaji pythogrous theorem kulijua hilo unless wewe unatoka machame
 
Hapa ndipo mbowe amejizalilisha sana kwa kweli
 
Yote haya yange baki siri kama angeng'atuka tu shida kashupaza shngo lake
 
Hili suala la COVID-19 Mzee Pascal Mayalla alishalielezea sana humu mpaka akawaombea msamaha ila wadau wengi walimpinga huyu kada wa Ccm
 
Tunaofahamu mambo ya Mbowe na Chadema wameisindikiza CCM tangia 1992 twaangalia tu.

Mimi nimeongelea sana humu JF hili la upigaji na mfumo mzima wa Kleptokrasia ulovubika upinzani Tanganyika.

Mbowe na wahuni wengine must go.
 
wako 19 ukigawanya kwa mbowe, kigaila na mwalimu kila mmoja anapata wake sita anabaki mmoja. Huyo mmoja ni wa nani? Anyway, tuyaache hayo. Kama huo ulikuwa ni mpango wa mbowe na genge lake chamani haoni kuwa aliwahadaa wanachama na wananchi kuwa wale covid19 spika aliwang'ang'ania huku chadema ikiwa imewavua uanachama? Kama ni hivyo mbowe akae tu pembeni
 
Haya maisha watu wanatega hela zilipo hawatafuti ni kutega tu ili zichepukie kwake.

Mtu anapewa hela za bunge kidogo na uhakika wa kukamuliwa kende zikiwa nzito.

Akishakamuliwa uzito wa kende anakuja jf na kusema COVID 19 hawafai.

Hiki chama sasa nitahama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…