Kuhusu Mbowe na COVID 19 kula deal, nimesikitika sana-sana

Chadema inahitaji kusafishwa kwa kweli, makandokando ni mengi kwa kweli.Lissu apewe mikoba ya mbowe .
 
Haa umenikumbusha kimpetupetu, kipindu pindu,
 
Mshalipwa kuja kumchafua mwamba haya pigwni kazi vijana
 
Kiukweli wale manaibu wawili walipaswa kujiuzulu mara moja, mwalimu na kigaila
Mwalimu mkewe ajadiliwe kwenye chama halafu Mwalimu asimwambie mkewe kweli?
Huu mgongano wa kimaslahi mbowe alikua anaujua na unautambua vizuri lakini aliamua akae kimia ili aendelee kukamua mpunga.
 
😂 😂 😂 Ila chadema Aliewaita manyumbu hakukosea kabisa yani!
Kwahiyo nyie kweli mlikuwa hamjui kabisa?

Mbona wanaccm walikuwa wanaongea kila siku humu? Au mlifikiri ni propaganda kama kawaida yenu?
 
Ndio sababu wale wadada walikuwa wanajiamini sana hata walipoitwa kamati kuu walienda kwa mbwembwe maana walikua ni igizo la kuwqchezea akili manyumbu
 
Ishu ya wabunge 19 Mbowe hajui anything

Hata wenyewe wabunge hawajui Nani amehusika na mpango mzima

Mbowe kaja kujua 3hrs before kuapishwa wale wabunge

Kwa hili namtetea
Kwa hiyo mpaka leo hajui, na hajajua kwamba wasaidizi wake kwenye sekretariet yake wake zao na mahawara zao ndio wanahusika na covid 19?

Kwa nini hadi leo hajaamua kukaa nao mbali kwa kuwatoa kwenye sekretariet yake?

Sherehe ya mwaka mpya Mbowe amewaalika Halima Mdee na Easter Bulaya nyumbani kwake lakini Msigwa hataki hata kumuona?

Baada ya kujuaa Mbowe amechukua hatua gani kukaa mbali na waume za hao wasaliti?
 


Ndugu yangu
Mtu aliefanya mchakato wa COVID hajuliani

Hakuna mtu anamjua

Hata hao wakina halima hawamjui walikuwa wanaongea nae kwenye simu Tu

Hakuna mtu anajua tukio zima lilikuwaje trust me

Mbowe hajui kitu chochote, wala myika hakuna anachojua

Wakina halima walikuwa wanapigiwa simu na kuambiwa nenda sehemu flan utakuta gari flan nenda kachukue kitu flan
 
Ilikuaje akaruhusu viongozi waandamizi waendelee kuwa madarakani huku wake zao ni wasaliti wa Chama? Anahusika 100% huitaji pythogrous theorem kulijua hilo unless wewe unatoka machame

Mke wa Nani ni covid?
Wewe unaongea hear says

Huna ushahidi wowote

Mimi nakwambia kitu ambacho nimeshuhudia mwenyewe

So najua ninachokiongea

Wewe unaongea Kwa kuhisi na kuconect dotes but ujui ukweli wowote

Wakati kesi ya COVID inaendelea Mbowe alikuwa segerea wakina halima walienda kumsalimia Mzee Mbowe nusu atoe machozi wakati anawabembeleza wakina halima watoke bungeni

So Mbowe hakuna anachojua na hakuna mtu yoyote anajua mambo yalikuwaje mpaka Leo wapo bungeni
 
Ishu ya wabunge 19 Mbowe hajui anything

Hata wenyewe wabunge hawajui Nani amehusika na mpango mzima

Mbowe kaja kujua 3hrs before kuapishwa wale wabunge

Kwa hili namtetea
Duuh unaelewa ulichokiandika lakini?
 
Hivi Ile kesi ya COVID-19 iliishia wapi? Hi nchi inavituko sana
 
Ila kati ya hao covid 19 walikuwepo wake wa wajumbe wa sekretariet iliyoteuliwa naMbowe, manaibu katibu wakuu bara na Zanzibar. Baada ya kuona hivyo ni usaliti wa chama kwa nini wasiwatoe wake zao au kujiuzulu nafasi zao kwenye sekretariet ili kuepusha mgongano wa maslahi?

Hawakumjua huyo mtu hawajamuona na pia hawakujua kuwa wanavunja katiba ya CHADEMA na ni usaliti? Lame excuses.

MBOWE alichukua hatua gani kwa Salum Mwalimu na Benson Kigaila? Kama watu wake wa karibu ili kujitenga na uchafu huu? Nini kikimfanya akae kimya afunike kombe mwanaharamu apite kama hakuwa na maslahi nayo?
 
Mke wa Benson Kigaila na Salum Mwalimu. Kama siyo watoke na wakanushe kuwa Lema anadanganya, au wewe unayewajua tuambie hapana mke wa Kigaila ni fulani na mke wa Salum Mwalimu ni fulani ili tumbane Lema kwa kauli yake
 
Mke wa Benson Kigaila na Salum Mwalimu. Kama siyo watoke na wakanushe kuwa Lema anadanganya, au wewe unayewajua tuambie hapana mke wa Kigaila ni fulani na mke wa Salum Mwalimu ni fulani ili tumbane Lema kwa kauli yake


Salum mwalimu Yule sio mke wake ila amezaa nae Tu na kila mtu na Maisha yake

Kigaila walishaachana na Yule mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…