Kipaji hakihitaji elimu kubwa ili kikulipe,na idadi ya wanaofanikiwa kwa kipaji duniani ni wachache sana..Dogo hajafika hata form 4 anakula ngozi Tami ba investments Kama hizi wakati Professor pale Mlimani anasubiria uteuzi wa Ukuu wa Wilaya
Maelezo bila hard facts unakuwa hater tu, the boy is achieving some goals whilst haters are busy hating.Rayvanny sio ya kwake ! labda ujanielewa
Maelezo bila hard facts unakuwa hater tu, the boy is achieving some goals whilst haters are busy hating.
One of his managers Babu Tale aliliongea hili muda mrefu kuwa dogo anakuja na surprise ya uwekezaji and mind you this franchise is gonna be a chain of restaurants around Tz, keep on hating.
Mambo ya wanaume wa Dar hayo.Kwahiyo mtoa mada umekaa zako unafatilia mwamaume mwenzako kafanya nini badala nawew ujitutumue hata ufungue kibanda uweke mama ntilie ..
Huyu jamaa simuelewi anaishije ishije pale wasafi...
Kama wewe..Wewe unataka aishije?