Kuhusu Mgahawa wa Rayvanny, ni wake au anapiga promo?

Kuhusu Mgahawa wa Rayvanny, ni wake au anapiga promo?

Wanakera, yani alivojipanga na mambo ya ushahidi, oh mshkaji wangu Kelvin.

Sasa mshkaji halafu hujui issue zake mjini?
Like seriously, hata kusoma hizi caption za so called mshkaji wake hasomi?
Mxxxxiew!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dogo hajafika hata form 4 anakula ngozi Tamu na investments Kama hizi wakati Professor (PhD) pale Mlimani anasubiria uteuzi wa Ukuu wa Wilaya. This life is not fair

View attachment 1928304
umekariri
ma professor wako wengi na matajiri na hawataki vyeo

wako pia ambao wanateuliwa na sio kuwa wanasubiria

wako pia maskini tu

ni maisha na hata wewe usikute umekopa benk laki sita ununue simu!!!

hiyo ipo na kwenye sehemu na sekta zote watu wametofautiana

kwani wangapi hao form four ambao ni maskini??
 
Umepanic. Japo haibadilishi kuwa Dogo anakula pazuri akiwa hajasoma kivile
 
Dogo ana-enjoy ngozi laini. Sisi tunahangaika na single mothers
 
Back
Top Bottom