Kuhusu Mgahawa wa Rayvanny, ni wake au anapiga promo?

Kuhusu Mgahawa wa Rayvanny, ni wake au anapiga promo?

Hilo suala la comments za wanaWCB kufuatana linafikirisha sana
 
Leo nimeshtuka sana baada watu wakimnadi ray vanny kafungua mgahawa wake.

Nikasema jambo zuri lakini nikaanza kupata wasi wasi

View attachment 1923486

Kwa sababu mtu ambaye anafanya hivi vitu ni mtu ambaye na mfahamu zamani sana tokea milenium tower makumbusho.

Hii project alikuwa nayo tokea zamani ikabidi nimuulize [emoji23].

Nyie WCB embu kuweni na aibu na vitu vingine.

View attachment 1923490

Mshikaji wangu ndio project hiyo na tokea mwanzo alikuwa na hii kitu.

View attachment 1923491
View attachment 1923492
View attachment 1923493
Tunapoteza mtu mhimu kama Warumi
 
Aisee jana nilikua pale na huwezi amini nimeona mtu kama Rayvanny kakaa na mchizi wanaongea nikataka kumuuliza mhudumu nikapotezea maana niliona kama ni black sana kumbe ndo najua Sasa ni yeye. Kiufupi ni booonge la place pametengenezwa vizuri mno. Nilimuuliza mhudumu akasema uzinduzi ni next week alhamisi (around tareh 16). Pana pc kali ni nyoko. Iko pale opposite na sheli ya oryx kona ya kuelekea goba jengo lile mbezi classic mall
 
Naona Mzee una full information
 
Ngoja nipeleke maombi ya kazi maanake hii niajira mpya acha tuichangamkie
 
Naona Mzee una full information
Nimeenda jana tu niliona pako wazi maana palikua hapajafunguliwa...hata wateja walikua kama wanne tu nadhan wengi wanajua bado hapajafunguliwa....ndo maana nilipomuona chui nikajua mabishoo tu wa kinondoni hahahaaaa...huu uzi ndo umenifanya nijue kumbe ni yeye
 
Back
Top Bottom