kingsize25
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 229
- 367
We ni hater plus chawa and you don’t know shit, ukute hata huyo Kelvin hakujui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaaani halafu ni chuki tu.Nacheka kama mazuri,
Kwa hili mtoa mada umepuyanga,
Kweli kilikuja na Meli enzi za Wakoloni
Alichotuletea kama uthibitisho kuwa Havanna.tz sio ya Rayvanny ndo kinamwangusha.Mnaomtukana mleta mada wekeni akiba za maneno maana hata chibu pafyum,karanga,bado pafyum za manara tuliambiwa ni zao bila kusahau wasafi tv na redio tuliaminishwa hisa zote ni za sadala
Yawezekana Vanyboy ni Partner hapo kwahiyo ni mmoja wa wamiliki!!.. lakini Mmiliki wa hiiKwani mtu akipewa tenda ya kudesign na kutengeneza ndo anakuwa mmiliki? Au kama Rayvanny kapangisha kwa huyo mshkaji wako kuna ubaya gani?
Wasanii wetu waishi kwenye uhalisia!!..Hii kitu labda Vanyboy ni partner!!!..Leo nimeshtuka sana baada watu wakimnadi ray vanny kafungua mgahawa wake.
Nikasema jambo zuri lakini nikaanza kupata wasi wasi
View attachment 1923486
Kwa sababu mtu ambaye anafanya hivi vitu ni mtu ambaye na mfahamu zamani sana tokea milenium tower makumbusho.
Hii project alikuwa nayo tokea zamani ikabidi nimuulize [emoji23].
Nyie WCB embu kuweni na aibu na vitu vingine.
View attachment 1923490
Mshikaji wangu ndio project hiyo na tokea mwanzo alikuwa na hii kitu.
View attachment 1923491
View attachment 1923492
View attachment 1923493
Akiwa partner sio mmiliki?Yawezekana Vanyboy ni Partner hapo kwahiyo ni mmoja wa wamiliki!!.. lakini Mmiliki wa hii
Wasanii wetu waishi kwenye uhalisia!!..Hii kitu labda Vanyboy ni partner!!!..
Kwa hiyo mmiliki ni nani?Rayvanny sio ya kwake ! labda ujanielewa
Kasema yuko jikoni kwa Mshkaji wake Mtani.Kwa hiuo mmiliki ni nani?
Maana huyo mwingine uliyetuonesha amejieleza kama ni interior designer au mchoraji wa hiyo mandhari ya ndani tunayoiona...
Umeelewa nilichoandika?!!..au ndio huyo Bata?!!Akiwa partner sio mmiliki?
Na wewe umemkomalia sana mwenzioKasema yuko jikoni kwa Mshkaji wake Mtani.
Tuendelee kusubiri
Alichotuletea kama uthibitisho kuwa Havanna.tz sio ya Rayvanny ndo kinamwangusha.
Naweza kubuy in kuhusu Franchising.
Kwamba labda zipo Havanna nyingi duniani, Ravanny kachukua jina na kila kitu kwa mkataba maalum mpk recipe kuwa ni zao, kisha akawekeza kwa Tz.
Kama ilivyo KFC, Subways, Merrybrown, PizzaHut, Macdonald's, Coca Cola na hizo food line business zingine zilizoko duniani.
Hapa angeeleweka na hakuna mtu angembishia.
Maana hiyo nayo ni aina ya biashara, na mwekezaji wa eneo husika BADO ana haki ya kuita ni mgahawa wake.
Sasa kutuletea screenshots za mbunifu na mjenzi wa mgahawa huo, tena akijinasibisha kuwa ni rafiki yake, kuonesha kuwa wana karibu.
Wakati mwenzie amepost mojawapo ya kazi zake.
Hapa ndo TUMEMSHANGAA!!
So hatuweki akiba ya maneno, kwa hili AMECHEMSHA!!
aje na hoja nyingine.
Huyo jamaa ambaye unasema ndo anahii roject ukisoma maelezo it is clear kwamba ni mkandarasi kwa maana ya architect/interior design kwa maana ndo kasimamia utengenezaji lakini hajasema popote kwamba ni mmiliki wa product. Mbona mnapenda kukurupuka tu kupostLeo nimeshtuka sana baada watu wakimnadi ray vanny kafungua mgahawa wake.
Nikasema jambo zuri lakini nikaanza kupata wasi wasi
View attachment 1923486
Kwa sababu mtu ambaye anafanya hivi vitu ni mtu ambaye na mfahamu zamani sana tokea milenium tower makumbusho.
Hii project alikuwa nayo tokea zamani ikabidi nimuulize [emoji23].
Nyie WCB embu kuweni na aibu na vitu vingine.
View attachment 1923490
Mshikaji wangu ndio project hiyo na tokea mwanzo alikuwa na hii kitu.
View attachment 1923491
View attachment 1923492
View attachment 1923493
Ni yakoRayvanny sio ya kwake ! labda ujanielewa
Mkwe basi inatosha. Sasa basi ungenipa namba nianze kuchati naye huu mwaka wa tano ujueAlichotuletea kama uthibitisho kuwa Havanna.tz sio ya Rayvanny ndo kinamwangusha.
Naweza kubuy in kuhusu Franchising.
Kwamba labda zipo Havanna nyingi duniani, Ravanny kachukua jina na kila kitu kwa mkataba maalum mpk recipe kuwa ni zao, kisha akawekeza kwa Tz.
Kama ilivyo KFC, Subways, Merrybrown, PizzaHut, Macdonald's, Coca Cola na hizo food line business zingine zilizoko duniani.
Hapa angeeleweka na hakuna mtu angembishia.
Maana hiyo nayo ni aina ya biashara, na mwekezaji wa eneo husika BADO ana haki ya kuita ni mgahawa wake.
Sasa kutuletea screenshots za mbunifu na mjenzi wa mgahawa huo, tena akijinasibisha kuwa ni rafiki yake, kuonesha kuwa wana karibu.
Wakati mwenzie amepost mojawapo ya kazi zake.
Hapa ndo TUMEMSHANGAA!!
So hatuweki akiba ya maneno, kwa hili AMECHEMSHA!!
aje na hoja nyingine.
Watu mnazidi kumbamiza nyundo za kichwa mleta mada, hamna hata huruma umeamua kumvua nguo hadharani.Alichotuletea kama uthibitisho kuwa Havanna.tz sio ya Rayvanny ndo kinamwangusha.
Naweza kubuy in kuhusu Franchising.
Kwamba labda zipo Havanna nyingi duniani, Ravanny kachukua jina na kila kitu kwa mkataba maalum mpk recipe kuwa ni zao, kisha akawekeza kwa Tz.
Kama ilivyo KFC, Subways, Merrybrown, PizzaHut, Macdonald's, Coca Cola na hizo food line business zingine zilizoko duniani.
Hapa angeeleweka na hakuna mtu angembishia.
Maana hiyo nayo ni aina ya biashara, na mwekezaji wa eneo husika BADO ana haki ya kuita ni mgahawa wake.
Sasa kutuletea screenshots za mbunifu na mjenzi wa mgahawa huo, tena akijinasibisha kuwa ni rafiki yake, kuonesha kuwa wana karibu.
Wakati mwenzie amepost mojawapo ya kazi zake.
Hapa ndo TUMEMSHANGAA!!
So hatuweki akiba ya maneno, kwa hili AMECHEMSHA!!
aje na hoja nyingine.
Unless ithibitishwe otherwise kutoka kwake mwenyewe au mtu mwingine aje na hard proof hakuna sababu ya kutokubali kuwa restaurant si ya kwake.Yawezekana Vanyboy ni Partner hapo kwahiyo ni mmoja wa wamiliki!!.. lakini Mmiliki wa hii
Wasanii wetu waishi kwenye uhalisia!!..Hii kitu labda Vanyboy ni partner!!!..
Kuna some loosers hawana kazi za kufanya, frustrated with life huku wakiwa busy hating.Mleta mada hakutegemea kama atakutana na komenti za namna hii.. Wadau wamempiga ngumi nyingi sana kwenye mshono