Kuhusu Mgahawa wa Rayvanny, ni wake au anapiga promo?

Kevin ni msanifu majengo hapo ni tenda amepewa nae sio yake, Kevin amebuni migahawa mingi hapa mjini ukiwepo Granno Coffee Mlimani City na majengo mablimbali.
 
Pale Tegeta kuna msanii ana nyama choma yake ,kwa hiyo sio jambo la ajabu kuwa na migahawa
 
subiri basi maana nilipo jikoni mwenye hiki kitu
Keep on digging, I bet you'll celebrate the results.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Dogo hajafika hata form 4 anakula ngozi Tamu na investments Kama hizi wakati Professor pale Mlimani anasubiria uteuzi wa Ukuu wa Wilaya. This life is not fair
Mwana umeniongezea siku yangu ya kuishi nipo hapa kwenye daladala nimecheka mpaka watu wananishangaa
 
Amesema "we build what we design"

Hapo sasa wapi kasema ni wake?

Ili hizi screenshot ziwe ni uthibitisho wa kuwa Rayvanny sio mmiliki?
Na kuna nini cha ajabu hapo mpk uone kuwa Rayvanny hawezi kuwa na hiyo sehemu ya kuuzia chakula?

Hizo taa taa?
Mbona ni project ndogo sana kwa Msanii kama huyu?
Yani umekurupula huko as if ni kitu cha ajabuuuu, kikubwaaaa.

Kuna vitu mnajiandaaga kudegrade watu halafu mnaonekana wa ajabu!!!
Mxxxiiiew

 
[emoji817][emoji3581]
 
Kipaji hakihitaji elimu kubwa ili kikulipe,na idadi ya wanaofanikiwa kwa kipaji duniani ni wachache sana..

Ni ujinga kuanza kuwalinganisha wasanii talented au athletes na watu ordinary.
Kweli kabisa...Mkubwa wa The Money Team Mayweather hana shule ila he signs six figure papers
 
Umempiga n kitu kizito kichwani[emoji16]
 
Umempiga n kitu kizito kichwani[emoji16]
Wanakera, yani alivojipanga na mambo ya ushahidi, oh mshkaji wangu Kelvin.

Sasa mshkaji halafu hujui issue zake mjini?
Like seriously, hata kusoma hizi caption za so called mshkaji wake hasomi?
Mxxxxiew!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…