[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanakera, yani alivojipanga na mambo ya ushahidi, oh mshkaji wangu Kelvin.
Sasa mshkaji halafu hujui issue zake mjini?
Like seriously, hata kusoma hizi caption za so called mshkaji wake hasomi?
Mxxxxiew!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bro.. huu uwekezaji umekutisha? Mbona kwa level yake huu mdogo sana? Tembea uone kaka namna vijana wana matusi aisee..
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Mkuu nishawahi kukuona pale mbele kwenye duka la vinywaji opposite na massana hospitalNiko jiran kabisa na hapo aisee.kumbe ni wake..mi naish mtaa wa pil tu hapo...ila hapo nje ni pazur kwa vi date aisee..panangaa usiku hzo taa za njanl
umekaririDogo hajafika hata form 4 anakula ngozi Tamu na investments Kama hizi wakati Professor (PhD) pale Mlimani anasubiria uteuzi wa Ukuu wa Wilaya. This life is not fair
View attachment 1928304
Umepanic. Japo haibadilishi kuwa Dogo anakula pazuri akiwa hajasoma kivileumekariri
ma professor wako wengi na matajiri na hawataki vyeo
wako pia ambao wanateuliwa na sio kuwa wanasubiria
wako pia maskini tu
ni maisha na hata wewe usikute umekopa benk laki sita ununue simu!!!
hiyo ipo na kwenye sehemu na sekta zote watu wametofautiana
kwani wangapi hao form four ambao ni maskini??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]NI balozi kama vile unavyoomuona Ommy Dimples na GSM...
yaani usikute ushamlengesha mama yako mzazi kwa huyu unayemwabuduUmepanic. Japo haibadilishi kuwa Dogo anakula pazuri akiwa hajasoma kivile