Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Anaetoa pesa za miradi ndie anaewatuma hao wote ni Loudspeaker hawana say kuzidi microphone š¤ checker
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WaTz wapo chattle?Usipoteze mda. Hajengi kwa ajili yake ni kwa ajili ya watanzania.
Swali kama hili nilijibuje sasa.WaTz wapo chattle?
Unahoja nyepesi sana ndugu yangu.Watanzania wanaishi Chato tu,Kisarawe tu hapo barabara ya lami haizidi kilomita 10 hata wakitaka kwenda kwenye mradi wa bwawa la kuzalisha umeme la Rufiji wanazunguka Morogoro huko wakati kwa kupitia Kisarawe ni karibu zaidi, pamoja na ukongwe wake lakini ndio ipo nyuma zaidi
Umeshaelewa kilichoaki hapo ni roho ya kwa nini.Ni kweli, je hao Watanzania wahemia huko Chato miaka hii mitano ya utawala wake?
Ni mawaziri wanapeleka maendeleo kwa mujibu wa ilani ya uchaguzi!
Akishajenga akamiliza atahamia kwenu.Watu wote wenye akili timamu wanaona lipo tatizo isipokuwa wewe na wenzako wachache ndio mnaona hakuna tatizo kwa sababu ya kujipendekeza uenda kwa kutafuta uteuzi au kwa faida mnazozijua wenyewe,watu wanachohoji ni hiyo kasi ya kupeleka maendeleo kwenye ka wilaya kamoja ktk muda mfupi huku miradi mingine ingepaswa ijengwe makao makuu ya mkoa lakini inajengwa huko uswekeni na miradi mingine ya gharama kubwa isiyo na ulazima utajengaje International airport Chato badala ya Geita mjini au ni vipi ujenge uwanja wa mkubwa wa michezo unaogharimu mabilioni ya shilingi huko maporini bila ulazima wa kufanya hivyo kwani ungejengwa mfano kama wa azam complex au hata ule majaliwa wa kule Ruangwa ingekuwa kuna shida gani? Lakini pia hata ofisi za taasisi za umma zinajengwa huko zinakuwa za viwango tofauti na wilaya nyingine mfano mzuri ni ofisi za TRA na Mahakama sasa huu upendeleo wa wazi kwa vile tu mtu mmoja mwenye mamlaka katokea huko hiyo ndio tunaona sio sawa.
Pilipili kichaa[emoji3][emoji3][emoji3]Kumekuwepo na maoni mengi sana siku za karibuni kuhusu uwekezaji au miondombinu inayojengwa wilayani Chato(nyumbani kwa rais wetu).
WanaJF,
Hongereni na usiku wa mapinduzi ya Zanzibar. Na naenda kwenye mada moja kwa moja.
Kila kundi wameongea yao; Wanasiasa, wanaharakati, wasomi wa kawaida, wanasheria, viongozi wa dini na makundi mengineyo.
Swali ambalo leo naliweka kama principal question kwa makundi hayo yanayotoa maoni ni hili;Je, mheshimiwa rais anawatuma viongozi wapeleke au viongozi wanyewe wanaamua kwa utashi wao wapeleke Chato miondombinu hiyo?
Mimi kama Mtanzania nadhani huenda nadharia ya pili ya swali la msingi ina nguvu.
Tunajua wazi viongozi wa siku hizi walioko chini ya rais walivyo na tabia ya kujipendekeza na unafiki, ili tu waendelee kubaki kwenye nyadhifa zao, wakijua pia kuwa Kuna makosa yao fulanifulani mheshimiwa rais anayajua.
Nahitimisha kwa kuwakaribisha Watanzania wenzangu, na nyinyi muone ni nadharia ipi kati ya hizo mbili zilizopo kwenye "Principal question".
Nikuwekee wewe?weka namba ya simu iwe rahisi kukupata uteuzi utafanyika muda sio mrefu.
Na leo imeongezewa tena ni kitovu cha utalii kanda ya Ziwa.......kuna kivutio gani cha maana huko Chato? Wakati Mboga ni artificial?Swali kama hili nilijibuje sasa.
Kwamba chato iko Msumbiji ?
Thibitisha huo "wingi wa kura'Thibitisha mkuu!!
Swala la wageni wa kitaifa, hili ni wivu na Maumivu ya waliokosa wingi wa Kura!!
Roho mbaya itakuuwa wewe.Uwe wapi,upo mtaani tu sanasana utajifaragua kwa kujiita usalama
Tulieni DAWA iwaingie kwanza. Maana mnataka akafanye kwenu tu afu kwao aache.Na leo imeongezewa tena ni kitovu cha utalii kanda ya Ziwa.......kuna kivutio gani cha maana huko Chato? Wakati Mboga ni artificial? Acha uzwazwa