Kuhusu miundombinu Chato, Rais anawaagiza au viongozi wenyewe wanaamua tu kuipeleka huko?

Kipind kile cha kampeni alijifanya anamkoromea DG wa takukuru kutuzuga, lakn naamin anawatuma hao viongozi wapeleke huko
 
Raisi ni Mkuu wa nchi na ndiye Raia Namba moja.Rais ni binadamu na wateule wake wote ni binadamu.
Rais pamoja na kuwa mkuu wa nchi na Amiri jeshi mkuu (ana uwezo wa kuamua hata roho ya mtu itoke,akiamua) lakini bado ni binadamu na haina maana ya kuwa ana akili nyingi kuliko aliowateua.
Walioteuliwa ni wajuvi na wanaelewa ni kipi atakacho Raisi na wanakwenda na upepo huo.
Tusiwadharau tuliowaajiri kuna wakati ni inteligent kuliko sisi tunaowalipa mshahara!!!
 
Sory,mwenye kuamua roho ya mtu itoke ni Mungu pekee(kwa Imani yangu). Refer to the failed assassinations.
 
Tulieni DAWA iwaingie kwanza. Maana mnataka akafanye kwenu tu afu kwao aache.

Mangapi anafanya kila mkoa hadi muone wivu?. Acheni ajipongeze so long anafanya mambo ya wananchi.
Kuna watu wajinga sana hii nchi.Bado illiteracy rate ni kubwa mno.
 
Indirectly au directly Magufuli anawataka hao mafisadi wadogo wadogo wajenge miundombinu mbalimbali huko jijini Chato
 
Sory,mwenye kuamua roho ya mtu itoke ni Mungu pekee(kwa Imani yangu). Refer to the failed assassinations.
Akisaini hukumu wa ya kunyongwa bado utaendelea kuishi.Kumbuka ni saini yake inahitajika!!!!
 
Mengi na maagizo kutoka juu...

Kwa nini wasipeleke msoga...

Cc: mahondaw
Profesa Antipas Tundu Lissu a.k.a kiboko ya mafisadi wa CCm aulipotangazia umma kuwa na Sera za Majimbo tuliambiwa tunaleta ukabila, sasa hii CHATONIZATION ni nini!?

Leo Ndumbaro anatuambia Chato ni kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa hivi huyu ni mwehu!? Seriously Chato iwe kitovu wakati huo world heritage pale Serengeti, namshauri magufuli afanye uhakiki wa vyeti vya hawa phd holders wake type ya Ndumbaro!!??
 
Tulieni DAWA iwaingie kwanza. Maana mnataka akafanye kwenu tu afu kwao aache.

Mangapi anafanya kila mkoa hadi muone wivu?. Acheni ajipongeze so long anafanya mambo ya wananchi.
Unadhani wenzake walimtangulia walikuwa wajinga? Hapo penyewe ulipo hujalipa Deni lako loan board,ila unaleta ubishi wa wazi
 
Tulieni DAWA iwaingie kwanza. Maana mnataka akafanye kwenu tu afu kwao aache.

Mangapi anafanya kila mkoa hadi muone wivu?. Acheni ajipongeze so long anafanya mambo ya wananchi.
Mambo ya wananchi!Mahitaji ya wananchi ni hayo?
 
Dr Chalz KIMEI alitatua ilo swali lako kipindi anazindua CRDB ,KIMEI alisema MAGUFULI ndio aliyefanya utafiti na ndio wakaamua wajenge CRDB CHATTLE.

Conclusion: JIWE ndio anatoa maelekezo ya mambo yanayofanyika CHATTLE.
Afadhali umemkumbusha. Magufuli hakwepi ktk ubabe wake wa kiutawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…