Kuhusu miundombinu Chato, Rais anawaagiza au viongozi wenyewe wanaamua tu kuipeleka huko?

Kwa hiyo watanzania wote tuhamie chato?
Vipi wanainchi wa huku Ipole ndani ndani huku, wao watafaidika lini na kodi zao?
Hamia tu. Hauzuiliwi kwenda Chato, Kaungane na Watanzania walioko huko.

Huko Ipole zamu yao inakuja.
 
Nileteeni gwajiiiiiii
Huyo alienda kusaka kura wakati wa kampeni akaonekana anafariji walioathirika na mafuriko.Mafuriko ya mwaka huu wakamfuata kumwambia hiyo shida haijaisha.Akwajibu tusubiri maamuzi ya serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…