Kuhusu Mtangazaji Rebeka Mulesi wa Radio Free Africa

Kuhusu Mtangazaji Rebeka Mulesi wa Radio Free Africa

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Habari za Jumapili Wana wa JF. Mtangazaji Rebeka Mulesi wa Radio Free Africa amekuwa akitangaza kipindi Cha USHAURI WAKO kwa muda mrefu Sana.

Kipindi hurushwa kila Jumapili asubuhi saa mbili hadi saa Tatu. Hapa huja watu wenye matatizo mbalimbali na kuelezea matatizo yao. Wengi ni wagonjwa, walemavu, mayatima nk.

Cha ajabu watu wengi wanapomaliza kuelezea shida zao, hudai Wana njaa Sana au kudai hajui pakwenda au hana nauli nk.

Sasa najiuliza huyu Mtangazaji si anamaliza mshahara wake kwa huruma ya kusaidia watu?
Huu pia ni Zaidi ya USHAURI WAKO Ila mjue tu Kuna watu Wana shida nyingi na wanajamii wengine ndiyo tegemeo lao.

Ktk kipindi hicho mwenye shida hutoa namba yake ya simu au ya ndugu yake ili apokee msaada. Sijui kwa muda mfupi Kama watu watakuwa washatuma hela ili mtu huyu aondoke studio akiwa na nauli au hela ya chai.
 
Inaezekana watu wanatuma hela kwa haraka haraka kila j2 kuna mtu studio ana shida akitoa elfu 10000 kila j2 na mshahara wa watangazaji bongo kiduchu na bado wanacheleweshwa!
 
Freed Freed:bora umeona ata hilo pia MUNGU awabariki wanaoguswa na kufanya kitu kwa wahitaji.Mwingine ukimsikiliza kama umeshapitia changamoto za uduni ktk maisha unaweza ukawa unatokwa machoz.Kila atakaye guswa na kufanya japo HAKIKA MUNGU HATAKUACHA KAMA ULIVYO.
 
Huyu hapa
b943228c5ed95c63849781c09e2775fa.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom