Kuhusu Mtangazaji Rebeka Mulesi wa Radio Free Africa

Rebecca unatafutwa huku na mabachela wenzako msimu huu wa kipupwe
 
Kwa kazi anayoifanya Bi rebecca anastahili faraja sana hasa ya usiku ili asinihisi mpweke
 
Kapicha tafadhali itapendeza zaidi

rebecamulesirfa-post-2018_03_28_08_00.jpg
 
Habari za Jumapili Wana wa JF. Mtangazaji Rebeka Mulesi wa Radio Free Africa amekuwa akitangaza kipindi Cha USHAURI WAKO kwa muda mrefu Sana.

Kipindi hurushwa kila Jumapili asubuhi saa mbili hadi saa Tatu. Hapa huja watu wenye matatizo mbalimbali na kuelezea matatizo yao. Wengi ni wagonjwa, walemavu, mayatima nk.

Cha ajabu watu wengi wanapomaliza kuelezea shida zao, hudai Wana njaa Sana au kudai hajui pakwenda au hana nauli nk.

Sasa najiuliza huyu Mtangazaji si anamaliza mshahara wake kwa huruma ya kusaidia watu?
Huu pia ni Zaidi ya USHAURI WAKO Ila mjue tu Kuna watu Wana shida nyingi na wanajamii wengine ndiyo tegemeo lao.

Ktk kipindi hicho mwenye shida hutoa namba yake ya simu au ya ndugu yake ili apokee msaada. Sijui kwa muda mfupi Kama watu watakuwa washatuma hela ili mtu huyu aondoke studio akiwa na nauli au hela ya chai.
Kwani RFA wanalipwa mshahara?
 
Kama wanaopiga simu ni wahitaji kweli muache awasaidie ila kama wazushi endelea kukutea hoja yako
 
Habari za Jumapili Wana wa JF. Mtangazaji Rebeka Mulesi wa Radio Free Africa amekuwa akitangaza kipindi Cha USHAURI WAKO kwa muda mrefu Sana.

Kipindi hurushwa kila Jumapili asubuhi saa mbili hadi saa Tatu. Hapa huja watu wenye matatizo mbalimbali na kuelezea matatizo yao. Wengi ni wagonjwa, walemavu, mayatima nk.

Cha ajabu watu wengi wanapomaliza kuelezea shida zao, hudai Wana njaa Sana au kudai hajui pakwenda au hana nauli nk.

Sasa najiuliza huyu Mtangazaji si anamaliza mshahara wake kwa huruma ya kusaidia watu?
Huu pia ni Zaidi ya USHAURI WAKO Ila mjue tu Kuna watu Wana shida nyingi na wanajamii wengine ndiyo tegemeo lao.

Ktk kipindi hicho mwenye shida hutoa namba yake ya simu au ya ndugu yake ili apokee msaada. Sijui kwa muda mfupi Kama watu watakuwa washatuma hela ili mtu huyu aondoke studio akiwa na nauli au hela ya chai.
Sauti yake mimi hoi huku.....mwenye picha yake tafadhari

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom