Lucas philipo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,039
- 2,676
He!!
Aiseee!! Kumbe ka modo hivi? Mbona kana sauti fulani hivi matata yenye kujawa na huruma na soni halafu kanaonekana kadogo ukilinganisha na sauti!!
Ila kwa hicho Kipindi anafaa sana halafu Ni wa Muda mrefu balaaa