Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?

haya maoni yako haya . . . . . . . . mmmmmhhhhhhhh yetu macho
 
Leo tunapo adhimisha miaka 60 ya huu muungano wetu adhimu, nafanya tafakuri, niliwahi kuandika nini humu kuhusu muungano wetu.
Nawatakia maadhimisho mema ya miaka 60 ya muungano wetu adhimu.
Ujumbe wangu ni muungano wetu adhimu udumu milele, na sasa ni muda muafaka tuachane na huu muungano wa kimaghumashi, wa union na federation, sasa twende kwenye muungano wa kweli wa union wa nchi moja, serikali moja, na rais mmoja!.
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Tusaidie
P
 
Kiukweli kabisa Tanzania bado tunahitaji sana civic éducation kuhusu huu muungano wetu, hata kwa baadhi ya Viongozi wetu, hawaujui vizuri huu muungano wetu hivyo wanapotosha bure watu wao na umma kwa ujumla.
Na wako wengi sana huko kwenye mamlaka wenye akili ndogo kama yeye, haoni kama Tanganyika ndiyo looser mkubwa wa huo muunganiko!!
 
Na wako wengi sana huko kwenye mamlaka wenye akili ndogo kama yeye, haoni kama Tanganyika ndiyo looser mkubwa wa huo muunganiko!!
Kwani Watanganyika wangapi kila uchaguzi wanauliwa kwa kulamisha kuwekwa Raisi Kama huku Zanzibar,? Hata useme Tanganyika ndio loser?
 
Wanabodi,

Sasa mtu huyu ndio yuko ndani ya nyumba, yuko jikoni kabisa, asipothibitiwa, amini usiamini, amini nawaambieni akija tokea kufika kule juu kileleni, very soon, tutagawana fito!.

Paskali
Wanabodi,
Mwanasheria huyu Mkuu wa Zanzibar, hebu msikilize hapa!.

Kamati ya Maridhiano Six:MWANASHERIA OTHMAN MASOUD AUCHAMBUA MUUNGANO NA KATIBA MPYA
Paskali
OMO ndie mgombea urais wa Zanzibar 2025 kupitia tiketi ya ACT, kwa hoja kama hizi, hiki kikiwa ndicho Zanzibar wakitakacho, nimeshauri na naendelea kushauri kuundwa tume ya maridhiano Zanzibar kabla ya uchaguzi ili huyu jamaa akishinda atangazwe, lakini isipoundwa, ikatokea huyu jamaa ndie kashinda, itabidi tufunike tena kombe kama 2015 maana JMT haiwezi kukubali watu ma radical kama huyu kukabidhiwa nchi, akikabidhiwa leo, kesho yake tuu atauvunja huu wetu adhimu na adimu!
Ushauri wangu ni huu
Mwenzenu mimi nina jicho la tatu, 2015 nilishauri Kumuepushia aibu ya Kushindwa, CCM isimsimamishe Dr. Shein hawakusikia, kilichokuja kutokea ni hiki Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda

Sasa kwa 2025 nimeelezwa HII kitu!
P
 
Binafsi naunga mkono kuvunjika kwa huu Muungano uliojaa kero na manung'uniko ya kila aina kutoka pande zote mbili.
 
Hiyo sababu ya kuvuruga mchakato wa Katiba mpya ambao ungetatua hili suala.
 
Wewe Pascal sema kweli tunakuhishimu sana lkn unapokuja na propaganda zako kuhusu muungano hatutanyamaza kimya unajua wazi wazanzibari hawafurahishi na muungano huu .Muungano huu ni wa nguvu na Tanganyika na Zanzibar sio ndugu nyinyi ndugu zenu ni Kenya Uganda Rwanda na Congo n.k .Anayosema OMO ni mwiba kwenu ndio maana mnafik kama wewe na wenzake hamufurahishwi na maneno yake sisi tunakujua wazi wewe ni kitumwa cha CCM unajaribi kumpinga OMO wkt OMo na wewe ni baina ya bingu na ardhi wewe ni cha mtoto kwa OMO unatumwa chai .Na wacha chuki zako na roho mbaya yako kwa Zanzibar na Wazanzibari ile ajali ulopata bado hujasoma tu .ONE DAY YES Refer Syria imekuwaje time will tell.
 
Tena huyu Pascal ni JAHIL sana sana anapoengea masula ya Zanzibar wewe Zanzibar haikuhusu ndewe wa sikio wewe uongelea Tanganyika yako Uongelea tatizo la UMEME na MAJI utamaliza lini tatizo la barabara litamaliza lini .Tuachie tupumuwe .Hasbiya llah waniima lwakil huyu chuki zake ziko wazi wazi zipo ndani ya damu.Namuoimba Allah uwe kafara ikitokea tena Dah kuna mijitu wana chukiiiiii na Zanzibar cjui faida yake nini.
 
Wee fala sana, kama umeungana unataka serikali moja unatiwa nn wewe ,fanya serikali moja na kenya sio Zanzibar .Kaiacha Baba ako na wewe Zanzibar utaiacha unafaa utiwe adabu ya kizanzibari wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…