Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?

Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?

Tulishasema kuwang’ang’ania hawa jamaa ni kuipatia laana Tanganyika tuachane nao wazanzibari hawana lolote la kutupatia sisi watanganyika naamini muungano utakuja kuvunjwa tuachane nao hawa wanaotutegemea kwa kila kitu chakula na mambo mengine
 
Mkuu mfufuka, Resurrection , hapa hatuzungumzii usomi wa mtu, zungumzia hoja iliyopo mezani usilete mipasho. Tanganyika na Zanzibar zilipoungana na kuunda Tanzania, nchi zote mbili zilipoteza sovereignity zake. Sii kweli iliyopoteza ni nchi moja tuu ya Zanzibar.

Mtu unaweza usiwe msomi na ukawa na hoja mujarab kuliko Wasomi.

P
Ok, kasema uongo (kwa fikra zako) sasa wewe umeathirikaje?
 
Uvujwe tu ilivyokuwa hakuna katiba mpya wala Tume huru ya Uchaguzi ,maana hata uhalali wa kimagumashi wa Muungano hauna ridhaa za wananchi,upo upo tu.
 
Tulishasema kuwang’ang’ania hawa jamaa ni kuipatia laana Tanganyika tuachane nao wazanzibari hawana lolote la kutupatia sisi watanganyika naamini muungano utakuja kuvunjwa tuachane nao hawa wanaotutegemea kwa kila kitu chakula na mambo mengine
Mkuxxxndu wako kabla ya Uvamizi wenu na kuua watu kabla ya 1964 Zanzibar ndio ilikuwa bwana wenu kwa kila kitu Ustarabu tumewafundishia sisi wazanzabari leo Munataka kujifanya munaelewa kila kitu mulikuwa mukivaa kaniki tu tu rubega ,hakumna storiya yyote Zanzibar kutegemea mrima.
 
Mume anakupiga na anakutumia anavyotaka halafu unamsubiri akuache? Nyie si nchi kamili? Mnashindwa nini kuuvunja huo Muungano ili machogo yaache kuwanyanyasa? Unafik na uzandik unawatala watu kama wewe.

Amandla....
iko siku yenu Uritrea iliweza kwa Ethopia one day yes.
 
Muungano wetu ni muungano wa nchi mbili zenye hadhi sawa sawa, hakuna mkubwa wala mdogo, ndani ya muungano Tanganyika na Zanzibar ziko sawa sawa na zote mbili zilipoteza sovereignity zake na kuikabidhi kwa serikali ya JMT.
Kama nchi mbili sawa, sasa Tanganyika iko wapi ? Zanzibar bado ipo na kila mtu anaijua ilipo, tueleze iko wapi Tanganyika ? Dhana ya kuwa Tanzania ndio Tanganyika imebadili jina ina mashiko na wengi ndio tunavyoamini.

Hii dhana sio ya maneno tuu, ina una ushahidi wa kisheria pia. Nyerere alitumia kila kitu cha Tanganyika, katiba, nembo n.k na kuvibadili rangi tuu na kuvipa jina jipya. Nadhani mkuu uko usingizini ulipoandika chapisho hili.
 
Mkuu kipengele cha kwanza sio sahihi hata kidogo... Znz ina jiamulia mambo yake yote ambayo sio ya muungano na mengine kadhaa mfano mdogo swala la ardhi wameamua kuwa sideline wa tanganyika, znz walijiamukia kuwa na serikali ya maridhiano, znz walijiamulia kuwa na vitambulisho vya mkaazi ambavyo ww mbara huwezi pewa ng'oooo lkn huku bara vya NIDA ndivyo ivyo ivyo tuna gawana nawo
Umelewa ndugu!!
 
Huu Muungano una kasoro nyingi za kimuundo ndio maana unakuwa na changamoto nyingi sana. Kibaya zaidi ni kuwa imekosekana nia ya dhati katika kutatua changamoto hizo ndio maana imebaki kuwa kama ndoa ya wanandoa waliochokana lakini wanaogopa talaka.
lakini wanaogopa talaka .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila siku naomba hili dubwashika linaloitwa muungano livunjikie mbali kwani naamini alikuundwa kwa nia njema, haiwezekani kitu chenye heri watu wakijaribu kukizungumzia tu hasa pale wanapojaribu kueleza mapungufu basi inakuwa nongwa watu wanaanza kuitana majina mabaya na hata eti kuonekana ni wenye nia mbaya kiasi cha kufikiria kuwaangamiza kabisa hapa duniani.
 
Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye sehemu mbili, serikali mbili na katiba mbili. Katiba moja ya JMT ya mwaka 1977 imesema Tanzania ni nchi moja ya JMT, Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya JMT.

Katiba ya pili ni katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, ambayo ilirekebishwa mwaka 2010 inaitambua Zanzibar kuwa ni nchi na ni moja ya nchi mbili zinazounda JMT.

This is contradiction.
Kwa mujibu wa katiba ya JMT, Katiba ya Zanzibar ni Batili !. Ila kwa vile JMT inaendeshwa na katiba ya JMT na huo ubatili wa katiba ya Zanzibar hauhusu JMT, serikali ya JMT haijaingilia kati kuingilia mambo ya ndani ya Zanzibar yasituhusu. Ilichofanya katiba ya JMT ni kujinyamazia tuu kimya hivyo huo ubatili wa katiba ya Zanzibar, hauingii huku Bara, lakini ndani ya Zanzibar, katiba hiyo ni halali kabisa.
P
Mh, Pasco kama kuna mgongano wa katiba zetu hizi, ya JMT na SMZ na tukiingia ktk ufafanuzi unasema inayotakiwa ionekane batili ni ya Zanzibar unafikiri kuna siku wa Zanzibar watakubali yakwao isahihishwe? Kama si kukubali tufanyee hii ya JMT kuitambua Zanzibar kama nchi ili kunusuru muungano wetu
 
Mkuxxxndu wako kabla ya Uvamizi wenu na kuua watu kabla ya 1964 Zanzibar ndio ilikuwa bwana wenu kwa kila kitu Ustarabu tumewafundishia sisi wazanzabari leo Munataka kujifanya munaelewa kila kitu mulikuwa mukivaa kaniki tu tu rubega ,hakumna storiya yyote Zanzibar kutegemea mrima.

Hakuna pahala Tanganyika itayumba tukiachana na ninyi wavivu hamna lolote mnatunyonya na kunyonya rasilimali zetu na kamkoa kenu maskini ondokeni hatuwataki wategemezi wakubwa ninyi mlokosa shukrani
 
Hawa watu wako milioni moja na laki tano, waache ardhi yetu ya tanganyika wanayomiliki huku kwetu msidhani kuleteleza kero za muungano hatuoni tunaona sana tumewachoka na mwisho wenu utafika kila mmoja abaki na nchi yake , Tanganyika will be back one day. Haiwezekani watu milioni 59 tuungane na watu milioni moja hapana yaani eneo sawa na mkoa wa kigoma inaunganaje na sisi
 
Hakuna pahala Tanganyika itayumba tukiachana na ninyi wavivu hamna lolote mnatunyonya na kunyonya rasilimali zetu na kamkoa kenu maskini ondokeni hatuwataki wategemezi wakubwa ninyi mlokosa shukrani
Daa dekii wewe ndio mtwana kabisa na mjinga ushaka govi lako kwanza ushatahiria au bado kabal 1964 Zanzibar ilikuwa inategemea Tanganyika chuki zenu na ubaya wenu ndio mmetikisha hapa nani ana hamu na bara watu mulikuwa hamna insafu wala ustarabu nyie ndio munangania muungano wacha Tupumue tumewachokaaa machogoo.
 
Dah!!! Nimepitia comments hapa naona ndg zetu wazinzibar watoa maoni yao Kwa lugha kali kidogo, lakn zetu kwa kawaida sehemu yeyote yenye umoja, ushirika au muungano ndio sehemu yenye nguvu, nadhani muungano wetu bado ni muhimu kuliko wakati wowote
 
Daa dekii wewe ndio mtwana kabisa na mjinga ushaka govi lako kwanza ushatahiria au bado kabal 1964 Zanzibar ilikuwa inategemea Tanganyika chuki zenu na ubaya wenu ndio mmetikisha hapa nani ana hamu na bara watu mulikuwa hamna insafu wala ustarabu nyie ndio munangania muungano wacha Tupumue tumewachokaaa machogoo.

Nyie manopalazwa vichogo kama chapati kwa kutumia sahani unadhani mnaakili basi
 
Back
Top Bottom