Kuhusu nani anastahili kiatu mskie Othman Kazi, refa wa Mstaafu wa FIFA

Verbal diarrhoea
 
Saidoo kaleta kizungumkuti kipya kwa WanaMedali.

Hili nalo watataka waitwe na mama wakale ubwabwa wa bure ikiliwakubali yaishe...
Medali [emoji777]

Medani [emoji736]

Ikikiwakubali [emoji777]

Ili wakubali [emoji736]

Ungekuwa yule Bi mdini ningekupa za uso ila sema tu huwa hauna umbumbumbu Mzee Baba [emoji4]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mayele yeye ameshajipa ufungaji bora. Kumbe Uto ni kuanzia viongozi mpaka wachezaji ni hopeless
 
 
Huruma au kanuni zitumike kumpata mfungaji bora.??
 
Saidoo kaleta kizungumkuti kipya kwa WanaMedali.

Hili nalo watataka waitwe na mama wakale ubwabwa wa bure ikiliwakubali yaishe...
Si kama makolo ndio mnaangaika angalau na nyie mpate chochote msimu baada ya kushindwa hata kupata kombe la mapinduzi,msikilize afisa habari wa tff hapa alifafanua msimu uliopita sheria za tff ziko vipi,saidoo ana goli karibia 5 za penalti
 

Attachments

  • VID-20230610-WA0000.mp4
    941.6 KB
Umeambiwa mfungaji bora mambo ya kukabwa unayatoa wapi 😡😡😡
 
Mayele apewe cha kulia Saido apewe cha kushoto full stop.
 
Ukileta za WC na sisi tutakuletea za EPL
 
Magoli ya saidoo mengine kaja nayo simba.Kule napo alipiga michongo.Kila kitu lazima tubihane.
 
Eti Mayele alikuwa anakabwa na mabeki, kama hamtaki akabwe akacheze na mke wake ebo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu mbn makasiriko tena ilhali Othman kazi Tyr kashaekeza vizuri na ibaeleweka mwenye assist nyingi ni Nani baada ya kuwa na magoli Sawa....don't panic bro
 
Mayele ana advantage dhidi ya Saido, kwanini? Mayele kaiwezesha timu yake kuchukua ubingwa, ila Saido hakufanya hivyo, so Mayele ndio anastahili kupewa Golden Boot.

Saido mechi moja ameshinda magoli 5 ya kimchongo, huyo hastahili golden boot
Ohooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nuts
 
Huyo anayesema magoli ya penalti yanaondolewa ni mjinga gani? kwani magoli ya penalti sio magoli!

Hao watu kimsingi wanatakiwa kila mmoja wao apewe kiatu chake, kwasababu;
wote wawili wana magoli 17 na hiyo tuzo ni ya mfungaji bora, haina uhusiano wowote na assist, ni kutupia mpira kambani tu, ndio maana ya ufungaji bora, na wala sio kusaidia kufunga!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…