Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Na yeye AFUKUZWE TU!Ni kufukuza machawa wake ili abaki yeye. Hawa Kuna ushahidi wa moja kwa moja. Yeye amejificha nyuma yao.
Na yeye AFUKUZWE TU!Ni kufukuza machawa wake ili abaki yeye. Hawa Kuna ushahidi wa moja kwa moja. Yeye amejificha nyuma yao.
Niliwaambia kwamba kwa Freeman kukaa meza Moja na Samia na kuita eti yale ni maridhiano tujiandae kwa vive za kisanii na nikasema Mbowe hana Akili ni mlafi asiyeshiba kama walivyo walafi wengine na Mbowe huyu huyu ametumika kwa muda mrefu sana kuhujumu mapambano na zile kesi zote zilikuwa usanii mtupu,sasa ameshindwa uenyekiti rasmi kazi aliyokuwa anaifanya kwa miaka mingi imejulikana tena kwa muda mfupi kabisa.Nawasihi watanzania Tumshukuru MUNGU MWENYEZI kwa sababu sasa ukombozi na uhuru wa kweli unakuja.Tuungane sote kwa umoja wetu maana hili ni Taifa ambalo kila mtanzania amechoshwa na CCM atakaye kataa ni chawa amabyo anaishi kwenye chupi ya mtu fulani na kunyonya damu ili aishi.Wataalamu wa historia wanasema historia hutuambia kwa nini tupo hapa. Nimelazimika kutafakari na kurejea matukio mbali mbali yanayomhusu Mwenyekiti Mbowe kabla ya kupumzishwa na wanachama kwenye nafasi ya wenyekiti wake. Nimerejea matukio mbali mbali hususani baada ya mwenyekiti Mbowe kutoka Gerezani na kuibukia Ikulu, mwenendo wa vikao vya maridhiano, mwenyekiti Mbowe kuanza kuwashughulikia wajumbe wa kamati kuu waliopinga mwenendo wa maridhiano kama Mch Msigwa, Lema, Lissu na Heche kwenye kamati kuu na kwenye chaguzi za Chama. Nimelazimika kurejea hotuba yake aliyotoa akiwa mwanza vile vile. Nikiwa naendelea na tafakuri nikakumbuka namna alivyopambana kuhakikisha Lissu hagombei uenyekiti wa Chama baada ya kumwekea kivuli chake kwenye nafasi ya umakamu, mpaka alipowaita maaskofu wakae vikao vya upatanishi. Muda huo mwenyekiti Mbowe alikuwa hajatagaza kugombea uenyekiti. Baada ya jitihada zote za kumzuia Lissu kugombea kugonga mwamba, hatimaye alishawishiwa na wanachama kama kawaida yake kutangaza nia ya kugombea. Alitangaza nia akiwa anavuja jasho kubwa sana. Baada ya tukio la kutangaza nia, tulishuhudia pia matukio mengi yanayomhusu yeye mwenyewe kumshambulia Lissu au wafuasi wake. Nimerejea interviews kadhaa zake yeye mwenyewe na za wafuasi wake kama Kina Yericko Nyerere, Daniel Naftal nk.
Tumeshuhudia pia nguvu kubwa ya rushwa siku ya uchaguzi ikiwa ni mwendelezo wa njia za kuhakikisha anashinda na hivyo aliamini anashinda kwa asilimia zote. Siku ya uchaguzi tukashuhudia uchaguzi bora sana wa huru na haki uliomstaafisha na akatoa hotuba ya kishujaa sana tukadhani ni mzee ambae amekubali Chama kiongozwe na vijana aliowalea.
Katika Hali isiyokuwa ya kawaida, baada ya uchaguzi tukaanza kuona vituko vya Mchome ambaye ni kijana wa mbowe na sakata lake la akidi, na baadae likaibuka kundi la G55 ambao zaidi ya asilimia 70 walikuwa wafuasi wa Mbowe kwenye uchaguzi mkuu wa Chama. Nirudia pia kisoma waraka wao juu ya No reform, No election, nikasikiliza pia hotuba ya Mwenyekiti Mbowe juu ya No reform, No election.
Kuna mambo mengi sana ambayo ukiwa unatumia milango yote ya fahamu, ukirejea matukio yote, huwezi kumuondoa Mbowe kwenye sakata la G55 labda tu Ukiziba milango ya fahamu unaweza kudhani Mbowe amepumzika. Nalazimika tusema Mbowe bado yupo kazini. Kama tukimjengea nia njema, kama Mbowe Angelikuwa na uchungu na Chama alichokijenga kwa miaka zaidi ya 20, kama mzee wa chama na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu alikuwa na anayonafasi ya kuwazuia G55 kuendelea na mipango yao kwa simu moja tu na wangeacha mara moja kwa sababu wanachafua na kuharibu legacy yake aliyojenga miaka mingi. Kama mzee wa chama na mtu mwenye uchungu na Chama tunatamani angefanya hivyo ila bahati mbaya hajafanya hivyo mpaka leo.
Hivyo kwa kurejea matukio yote hayo, nalazimika kusema Mbowe anahusika kwenye sakata la G55 na matukio haya yanatuambia kwa nini Hali ilivyo sasa chadema juu ya viongozi wakuu na harakati za kundi la G55.
Wasalaaam
Tangu lini mnahitaji ushahidi? Mbona mnamshutumu mengi bila ushahidi? Mfukuzeni tu mjitue mzigo. Si mlimshinda kwa kishindo kwenye uchaguzi? Au mnamuogopa?Ni kufukuza aliowatanguliza ili abaki yeye, hawa wana ushahidi wa moja kwa moja
Usitupangie cha kufanya wewe chawa wa Sultan Mbowe.Tangu lini mnahitaji ushahidi? Mbona mnamshutumu mengi bila ushahidi? Mfukuzeni tu mjitue mzigo. Si mlimshinda kwa kishindo kwenye uchaguzi? Au mnamuogopa?
Amandla...
Tunafukuza aliowatanguliza, kama tulivyomshughulikia kwenye uchaguzi pamoja na mapesa yake kutoka kwa SamiaTangu lini mnahitaji ushahidi? Mbona mnamshutumu mengi bila ushahidi? Mfukuzeni tu mjitue mzigo. Si mlimshinda kwa kishindo kwenye uchaguzi? Au mnamuogopa?
Amandla...
AmeeenMungu atasimama na wenye haki,siku zote mwenye haki juwa hajikwai,na akijikwaa haanguki,na akianguka kamwe hawezi kuumi,na hata akiumia ni kidogo sana,maana bwana humshika mkono na kisha humponya jeraha lililomkuta.Tal ni mpango wa bwana aliye hai.
Nikumkumbuka yule bwana aise Daah.Mbowe ni tapeli. amewalaghai watz kwa zaidi ya miaka 20. Yeye na genge lake wameshafeli sana! Mungu Yuko upande wa haki. Haki itatamalaki. This year
Mbowe ni muhuni tu. Ametutapeli muda mrefu sana. Sasa tunaona kelele za wanufaika wa project yake ni CCM wakitoa milio. Wameamua kuhujumu chama. Mchome anaandikaje barua ya akidi kwenda kwa katibu mkuu na kutoa nakala kwa msajili wa vyama? Uhuni tu.Kila siku mnatabiri badala ya kujenga chama,mlisema hafai,sasa mnatafuta aongee kwani anawafaa kwa lipi maana ni miezi minne tu!!Subirini mjue gharama za uongozi
Tatizo ni ugonjwa uleule unaolitafuna bara la Afrika.."UCHU WA MADARAKA"Ameamua kukivunja chama alichoshiriki kukijenga kwa mikono yake tena kwa jasho na damu. Inasikitisha sana.
Ndio mambo ya kushangaza. Walimpigia kampeni. Sakata na Lissu kuwekwa ndani Mbowe yupo. Kwa nini alihamishwa gereza baada ya yeye na mwalimu kwenda kumuona?. Nia yao ni kuparalyze uongozi wa sasa ili warudi kupiga madili.mbowe sio mpinzani toka chadema inaanzishwa sema inaonekana hesabu zao safari hii zimebuma ilikuaje ccm walikuwa wanataka mbowe awe mwenyekiti tena
Kwani Lisu alipokuwa anamtukana Mbowe na kuongea na taifa wakati hajawa mwenyekiti alifuata utaratibu upi.Aliyeanzisha utomvu wa nidhamu ni Lisu,anavuna alichopanda.Alimtukana sana Mbowe na kusema hata biashara zake hazina TIN vumilieni tu mjenge chama maneno ni biashara ya wanasiasa.Mbowe ni muhuni tu. Ametutapeli muda mrefu sana. Sasa tunaona kelele za wanufaika wa project yake ni CCM wakitoa milio. Wameamua kuhujumu chama. Mchome anaandikaje barua ya akidi kwenda kwa katibu mkuu na kutoa nakala kwa msajili wa vyama? Uhuni tu.
Muda wao umeisha kama unaweza kutafakali kidogo tu tafakali siku ile mdude anakamatwa mbele yake mtizame kwamakini je kunakitu aliongea au kufanya? Wenda mda wa vyama pinzani kuwa pinzani umefika kwasababu watu wamedanganywa sanaaNdio mambo ya kushangaza. Walimpigia kampeni. Sakata na Lissu kuwekwa ndani Mbowe yupo. Kwa nini alihamishwa gereza baada ya yeye na mwalimu kwenda kumuona?. Nia yao ni kuparalyze uongozi wa sasa ili warudi kupiga madili.