Kuhusu sakata la G55 CHADEMA, Mbowe anahusika kwa asilimia 100

Nyie ngombe, mmeachiwa chama kimewashinda?
Mwambieni mzee wetu aache kuhujumu chama. Kwa mambo yanayofanywa na wafuasi wake ni kamwe hawezi kuondolewa kweli hili. Yupo nyuma yao.
 
Mahakama gani mzee anatakiwa kuacha uhuni, kuna suala la kupeleka mahakamani hapo. Kwa nini aruhusu waliokuwa wanamuunga mkono wakanyage legacy yake kwa kuhujumu chama. Yeye ndio mzee pekee wa chama. Kwa heshima yake, alihitaji Simu moja tu kuzima huo uhuni. Tunawezaje kumuondoa kwenye huo uhuni.
Sasa kama mnashindwa kumshughulikia mhuni mmoja mtawezaje kupambana na chama kilicho shika dola? Legacy gani hiyo unayoizungumzia wakati humu humu umesema alinunuliwa na alikuwa anakiuza chama? Mtu kama huyo atakuwaje na legacy ya maana? Mfukuzeni tu huyo mhuni.

Amandla...
 
Yule anashiriki tu kwa sababu ya nafasi aliyonayo na kuogopa hofu ya wanachama akionekana yupo kinyume watamshughulikia kama walivyofanya kwa Asenga. Yule ni kijana mtiifu wa Mbowe. Tumeona jumbe zake zilizovuja kwenye magroup yao.
Mbo

Mbona Bon Yai hayumo?
 
Mwambieni mzee wetu aache kuhujumu chama. Kwa mambo yanayofanywa na wafuasi wake ni kamwe hawezi kuondolewa kweli hili. Yupo nyuma yao.
Kila siku mnatukumbusha kuwa alikataliwa na wanachama ndio maana akashindwa uchaguzi. Mnashindwaje kumshughulikia mtu asiyekubalika na wanachama wengi wa Chadema. Hasa kama anaungwa mkono na wanachama wachache kama hao wa kwenye G55. Mfukuzeni tu.

Amandla...
 
Legacy ya Mbowe imeingia doa pale alipokubali kununulika. Wanachama wakaamua ili kuilinda legacy yake wakampumzisha. Bahati mbaya hajaelewa, bado anaendelea na mradi wake na CCM kupitia G55.
Sasa kama mnashindwa kumshughulikia mhuni mmoja mtawezaje kupambana na chama kilicho shika dola? Legacy gani hiyo unayoizungumzia wakati humu humu umesema alinunuliwa na alikuwa anakiuza chama? Mtu kama huyo atakuwaje na legacy ya maana? Mfukuzeni tu huyo mhuni.

Amandla...
 
Hata Mungu anasema kabla ya kuwaadhibu lazima awatumie mtume kwa ajili ya kuwabainishia neno lake na kuwaonya. Hapa tunabainisha uhuni wake. Wakati sahihi ukifika atashughulikiwa. Kazi ya kubainisha uhuni wake inaendelea.
Kila siku mnatukumbusha kuwa alikataliwa na wanachama ndio maana akashindwa uchaguzi. Mnashindwaje kumshughulikia mtu asiyekubalika na wanachama wengi wa Chadema. Hasa kama anaungwa mkono na wanachama wachache kama hao wa kwenye G55. Mfukuzeni tu.

Amandla...
 
Legacy ya Mbowe imeingia doa pale alipokubali kununulika. Wanachama wakaamua ili kuilinda legacy yake wakampumzisha. Bahati mbaya hajaelewa, bado anaendelea na mradi wake na CCM kupitia G55.
Sasa mnashindwa nini kumshughulikia mtu ambae legacy yake imechafuka? Mmoja wa viongozi wa mapambano ya kugombea uhuru alikuwa Oscar Kambona. Aliposhutumiwa kuwa alitaka kupindua serikali ikawa ndio mwisho wa legacy yake. Hivyo hivyo kama mnaamini kuwa Mbowe ana uhujumu uongozi wa sasa, mtimueni na legacy yake itafutika.

Amandla...
 
Hata Mungu anasema kabla ya kuwaadhibu lazima awatumie mtume kwa ajili ya kuwabainishia neno lake na kuwaonya. Hapa tunabainisha uhuni wake. Wakati sahihi ukifika atashughulikiwa. Kazi ya kubainisha uhuni wake inaendelea.
Sasa una muingiza Mungu wa nini? Mnalea jipu kwa sababu mnasubiri Mungu awape ishara? Mnasikitisha sana. Mimi naamini wewe ni CCM na umetumwa kuivuruga CDM.

Amandla...
 
Mkuu naeshimu mawazo yako ,ila ieleweke Mbowe ni mtu na nusu, alisoma mchezo wa ccm na kuamua kuwakataa kiutu uzima , hakuna ambalo mbowe anajua ambalo vijana wake aliowaachia chama hawajui.

G55 Hawa matapeli , Mbowe anawajua ndo maana watashughulikiwa kwa mjibu wa sheria za chama kila mmoja kwa wakati wake.

Kwa machungu aliyoyapitia Mbowe hawezi dhubutu huwa chama ichi,
 
Sasa una muingiza Mungu wa nini? Mnalea jipu kwa sababu mnasubiri Mungu awape ishara? Mnasikitisha sana. Mimi naamini wewe ni CCM na umetumwa kuivuruga CDM.

Amandla...
Haihitaji hadubini kujua G55 Mbowe na CCM wapo nyuma yao
 
Nakuamini kwa vile umetumwa na CCM. Kama hili suala ni wazi hivyo, mfukuzeni tu.

Amandla...
Mbowe ndio ametumwa na CCM kwa sababu ndio maana walikuwa wanampigia kampeni. Hilo halina Shaka ndani yake
 
Back
Top Bottom