Kuhusu sakata la G55 CHADEMA, Mbowe anahusika kwa asilimia 100

Niliwaambia kwamba kwa Freeman kukaa meza Moja na Samia na kuita eti yale ni maridhiano tujiandae kwa vive za kisanii na nikasema Mbowe hana Akili ni mlafi asiyeshiba kama walivyo walafi wengine na Mbowe huyu huyu ametumika kwa muda mrefu sana kuhujumu mapambano na zile kesi zote zilikuwa usanii mtupu,sasa ameshindwa uenyekiti rasmi kazi aliyokuwa anaifanya kwa miaka mingi imejulikana tena kwa muda mfupi kabisa.Nawasihi watanzania Tumshukuru MUNGU MWENYEZI kwa sababu sasa ukombozi na uhuru wa kweli unakuja.Tuungane sote kwa umoja wetu maana hili ni Taifa ambalo kila mtanzania amechoshwa na CCM atakaye kataa ni chawa amabyo anaishi kwenye chupi ya mtu fulani na kunyonya damu ili aishi.
 
Ni kufukuza aliowatanguliza ili abaki yeye, hawa wana ushahidi wa moja kwa moja
Tangu lini mnahitaji ushahidi? Mbona mnamshutumu mengi bila ushahidi? Mfukuzeni tu mjitue mzigo. Si mlimshinda kwa kishindo kwenye uchaguzi? Au mnamuogopa?

Amandla...
 
Usitupangie cha kufanya wewe chawa wa Sultan Mbowe.
 
Mungu atasimama na wenye haki,siku zote mwenye haki juwa hajikwai,na akijikwaa haanguki,na akianguka kamwe hawezi kuumi,na hata akiumia ni kidogo sana,maana bwana humshika mkono na kisha humponya jeraha lililomkuta.Tal ni mpango wa bwana aliye hai.
 
Tangu lini mnahitaji ushahidi? Mbona mnamshutumu mengi bila ushahidi? Mfukuzeni tu mjitue mzigo. Si mlimshinda kwa kishindo kwenye uchaguzi? Au mnamuogopa?

Amandla...
Tunafukuza aliowatanguliza, kama tulivyomshughulikia kwenye uchaguzi pamoja na mapesa yake kutoka kwa Samia
 
Mungu atasimama na wenye haki,siku zote mwenye haki juwa hajikwai,na akijikwaa haanguki,na akianguka kamwe hawezi kuumi,na hata akiumia ni kidogo sana,maana bwana humshika mkono na kisha humponya jeraha lililomkuta.Tal ni mpango wa bwana aliye hai.
Ameeen
 
Kila siku mnatabiri badala ya kujenga chama,mlisema hafai,sasa mnatafuta aongee kwani anawafaa kwa lipi maana ni miezi minne tu!!Subirini mjue gharama za uongozi
 
mbowe sio mpinzani toka chadema inaanzishwa sema inaonekana hesabu zao safari hii zimebuma ilikuaje ccm walikuwa wanataka mbowe awe mwenyekiti tena
 
Mbowe ni muhuni tu. Ametutapeli muda mrefu sana. Sasa tunaona kelele za wanufaika wa project yake ni CCM wakitoa milio. Wameamua kuhujumu chama. Mchome anaandikaje barua ya akidi kwenda kwa katibu mkuu na kutoa nakala kwa msajili wa vyama? Uhuni tu.
 
Ndio mambo ya kushangaza. Walimpigia kampeni. Sakata na Lissu kuwekwa ndani Mbowe yupo. Kwa nini alihamishwa gereza baada ya yeye na mwalimu kwenda kumuona?. Nia yao ni kuparalyze uongozi wa sasa ili warudi kupiga madili.
 
Kwani Lisu alipokuwa anamtukana Mbowe na kuongea na taifa wakati hajawa mwenyekiti alifuata utaratibu upi.Aliyeanzisha utomvu wa nidhamu ni Lisu,anavuna alichopanda.Alimtukana sana Mbowe na kusema hata biashara zake hazina TIN vumilieni tu mjenge chama maneno ni biashara ya wanasiasa.
 
Ndio mambo ya kushangaza. Walimpigia kampeni. Sakata na Lissu kuwekwa ndani Mbowe yupo. Kwa nini alihamishwa gereza baada ya yeye na mwalimu kwenda kumuona?. Nia yao ni kuparalyze uongozi wa sasa ili warudi kupiga madili.
Muda wao umeisha kama unaweza kutafakali kidogo tu tafakali siku ile mdude anakamatwa mbele yake mtizame kwamakini je kunakitu aliongea au kufanya? Wenda mda wa vyama pinzani kuwa pinzani umefika kwasababu watu wamedanganywa sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…