Hivi unawezaje mueleza mtu mwenye akili timamu kwamba mikoa kama Mwanza, Geita, Kagera nk ina shida ya maji ya Bomba?
Hivi Tanzania tuna pesa za kununua V8 na matumizi mengine yasiyo ya lazima ila hatuna pesa za kutoa Maji ziwa Victoria kupeleka mikoa mingine kama Singida, Dodoma, Moro etc? Hivi Tangu 1961 leo hii 2022 tuzungumze kukosa maji kanda ya ziwa.
Nimewaza sana CCM inaundwa na Watanzania hivyo kuna uwezekano mkubwa watanzania tuna shida kichwani zaidi ya hii tunayoona kuongozwa na CCM.