Umeeleweka sana bwasheeHivi unawezaje mueleza mtu mwenye akili timamu kwamba mikoa kama Mwanza, Geita, Kagera ...nk ina shida ya maji ya Bomba?
Hivi Tanzania tuna pesa za kununua V8 na matumizi mengine yasiyo ya lazima ila hatuna pesa za kutoa Maji ziwa Victoria kupeleka mikoa mingine kama Singida, Dodoma, Moro ..etc ?
Hivi Tangu 1961 leo hii 2022 tuzungumze kukosa maji kanda ya ziwa .
Nimewaza sana CCM inaundwa na Watanzania hivyo kuna uwezekano mkubwa watanzia tuna shida kichwani zaidi ya hii tunayoona kuongozwa na CCM .
Fact👏Hivi unawezaje mueleza mtu mwenye akili timamu kwamba mikoa kama Mwanza, Geita, Kagera ...nk ina shida ya maji ya Bomba?
Hivi Tanzania tuna pesa za kununua V8 na matumizi mengine yasiyo ya lazima ila hatuna pesa za kutoa Maji ziwa Victoria kupeleka mikoa mingine kama Singida, Dodoma, Moro ..etc ? Hivi Tangu 1961 leo hii 2022 tuzungumze kukosa maji kanda ya ziwa.
Nimewaza sana CCM inaundwa na Watanzania hivyo kuna uwezekano mkubwa watanzania tuna shida kichwani zaidi ya hii tunayoona kuongozwa na CCM.
Hivi unawezaje mueleza mtu mwenye akili timamu kwamba mikoa kama Mwanza, Geita, Kagera nk ina shida ya maji ya Bomba?
Hivi Tanzania tuna pesa za kununua V8 na matumizi mengine yasiyo ya lazima ila hatuna pesa za kutoa Maji ziwa Victoria kupeleka mikoa mingine kama Singida, Dodoma, Moro etc? Hivi Tangu 1961 leo hii 2022 tuzungumze kukosa maji kanda ya ziwa.
Nimewaza sana CCM inaundwa na Watanzania hivyo kuna uwezekano mkubwa watanzania tuna shida kichwani zaidi ya hii tunayoona kuongozwa na CCM.
Hahahaa sawa MkuuKagera tutoe kwenye huo upuuzi wako.
Kiongozi mzuri au mbovu ni taswira ya jamii anaypiongoza.Hivi unawezaje mueleza mtu mwenye akili timamu kwamba mikoa kama Mwanza, Geita, Kagera nk ina shida ya maji ya Bomba?
Hivi Tanzania tuna pesa za kununua V8 na matumizi mengine yasiyo ya lazima ila hatuna pesa za kutoa Maji ziwa Victoria kupeleka mikoa mingine kama Singida, Dodoma, Moro etc? Hivi Tangu 1961 leo hii 2022 tuzungumze kukosa maji kanda ya ziwa.
Nimewaza sana CCM inaundwa na Watanzania hivyo kuna uwezekano mkubwa watanzania tuna shida kichwani zaidi ya hii tunayoona kuongozwa na CCM.
umenena vyemaKiongozi mzuri au mbovu ni taswira ya jamii anaypiongoza.
Unapoona haya yanajiri usiachr kuiomnea nchi maana adui anaweza kupenya kwenye shida za watu akakoroga nchi
Dawa ni CCM kubadilika ama ibadilishwe kwa lazima kupitia sanduku la kura