Kuhusu suala la ajira alaumiwe Hayati Magufuli kurundika graduates mtaani na hapo hapo akajiita eti ni Rais wa wanyonge

Kuhusu suala la ajira alaumiwe Hayati Magufuli kurundika graduates mtaani na hapo hapo akajiita eti ni Rais wa wanyonge

Angalia waliokuwa shortlisted kusailiwa ni zaidli ya 200,000 wakati wanaotakiwa no 14,00 tu.

Nampa heko mama angalau anapunguza kuliko lile jibwa ambalo lilikuwa linawatesha vijana mtaani na kuwafanya machinga.

Jk aliweka utaratibu mzuri wa kuajiri kila mwaka lakini lenyewe likaharibu utaratibu mzuri ule tatizo la ajira likaanza.
Ni mpumbafu pekee anaye amini kila graduate lazima aajiriwe na serikali..na wewe mleta mada ni moja ya wa pumbafu hao.
 
Kwamba maendeleo ni kula Bata Nini?

Aisee watu WA dizaini yako ni mizigo mizito na hatarishi sana Kwa taifa, maana Kwa akili zenu duni zinazowaza kula tu ni rahisi sana kulisaliti taifa pale mnawekewa vipande vya fedha.
Usipokula unakufa. This is simple logiic. Sema we umesoma kiswahili hata logic huelewi. Google it
 
Ni mpumbafu pekee anaye amini kila graduate lazima aajiriwe na serikali..na wewe mleta mada ni moja ya wa pumbafu hao.
Hii ndo primary goal ya kila anayeenda chuo kikuu. Hakuna anayeenda chuo kikuu akilenga kutembeza nguo barabarani au kusajili line za simu
 
Kwani wewe hapa duniani unafanya nini? Unaweza kuishi bila kula? Yaani unatala tumsifoe rais ambye katulaza njaa five years na kiteka na kuua kila anayempinga as if yeye hapingwi kabisa. Mungu ndo hapingwi peke yake
Bonge la Nyau
 
Remember how we all used to joke about this?
Kwamba Magufuli amelimaliza tatizo la White Collar Unemployment na pangua pangua yake ya Serikali ya mara kwa mara.
 
Angalia waliokuwa shortlisted kusailiwa ni zaidli ya 200,000 wakati wanaotakiwa no 14,00 tu.

Nampa heko mama angalau anapunguza kuliko lile jibwa ambalo lilikuwa linawatesha vijana mtaani na kuwafanya machinga.

Jk aliweka utaratibu mzuri wa kuajiri kila mwaka lakini lenyewe likaharibu utaratibu mzuri ule tatizo la ajira likaanza.
Kama hizo nafasi ziko ingieni huko Leo,yeye hayupo
 
Hii ndo primary goal ya kila anayeenda chuo kikuu. Hakuna anayeenda chuo kikuu akilenga kutembeza nguo barabarani au kusajili line za simu
Haya nenda kamlambe matako aliekupa ajira sasa maana ndicho ulichobakiza mother fucker!
 
Magufuli hahusiki na graduates kuwa mitaani. Na mwaka wa tano tangu atwaliwe na bado hao graduates wapo mitaani. Shida ingekuwa yeye huyu aliyepo angeshawaajiri wote.

Tatizo ni uwenda wazimu wa Watanzania wote wakiongozwa na wanasiasa wao na wasmoni. Kuliwa na haja gani kuua vyuo vya kati na kila Chuo kutoa elimu ya Shahada wakati nchi ina sekta zinazozalisha ajira na kodi.

Kulikuwa na ulazima gani hadi SUA na Mzumbe kutoa hadi kozi za ualimu? Kwa nini hivyo vyuo visingebaki na taaluma zao za asili ya vyo vyao?

Kuna sababu gani vyuo vya ajabu ajabu kutoa elimu ya biashara na uhasibu badala ya taaluma hizo kuachwa kwa UDSM. Mzumbe, IFM, AIA, TIA na CBE?

Ngoja tuendelee kuisoma namba maana sisi ni vichwa vya wenda wazimu.
Uongo. Tena vyuo vya kati ndo vinawaandaa vijana kuwa watumwa. Hakuna mtoto wa waziri anayeza kwenda kusoma mafinzo ya amali au kusom veta
 
Haya nenda kamlambe matako aliekupa ajira sasa maana ndicho ulichobakiza mother fucker!
.magufuli atengeneza wasagili line tena wasomi wa masters kabisa wanasagili liane mtaani. Ndo mana alipendwa na wajinga mtaani mana walifurahi sana kuona wasomi wako sawa na wao
 
Kama bado uko mtaani Maana yake Elimu Yako haijakusaidia chochote

Umeshindwa hata kuajiriwa na Mwijaku? 🐼
Hongera yako wewe uliyeajiriwa kwa mwijaku. Sio mbaya na wewe unafaidika na hela za uchawa. Safi.
 
.magufuli atengeneza wasagili line tena wasomi wa masters kabisa wanasagili liane mtaani. Ndo mana alipendwa na wajinga mtaani mana walifurahi sana kuona wasomi wako sawa na wao
Huna akili wewe kisa umepewa ajira ndio unapiga msasa matako sikuzote ulikua wapi kumambuzi kabisa wewe
 
Huwa nashangaa sana kijana akisema hana ajira au kazi 🤔
 
Hongera yako wewe uliyeajiriwa kwa mwijaku. Sio mbaya na wewe unafaidika na hela za uchawa. Safi.
Mimi ni mstaafu

Enzi zetu ukimaliza Chuo ajira ya Serikali haikuwa option ilikuwa ni lazima na unaruhusiwa kuacha baada ya Miaka 5 😂😂
 
Acha kutukana hovyo. Jaribu kuyapokea mawazo kinzani na kujibu kwa hoja sio matusi. Kama haujapendezwa na mawazo yake kua mvumilivu. Ch
Huyu mpuuzi kiwango chake cha ujinga nawasikitikia waliompa ajira kumamakezake
 
Oya weweboya unamtukana JK unajua yaan matusi yako yote yanaenda kwa JK bora unyamaze tu kuficha ujinga wako, Samia kakupa ajira Samia kakupa kaa kimya kumwmako
Hakuna aliyemaliza chuo kipindi cha jk aliyekosa ajira. Jk alikuwa ni mtu na nusu. Jpm ndo katengeza tatizo hilo kwa uwezo wake mdogo
 
Wewe jiwe akifufuka lazima akuzukie na pajama unamuitaje kipenzi cha wanyonge “JIBWA?”
 
Back
Top Bottom