Kuhusu uzazi wa mpango Magufuli alikuwa sahihi 100%

Kuhusu uzazi wa mpango Magufuli alikuwa sahihi 100%

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Myonge mnyongeni Ila haki yake apewa. Haters wote wa magufuli ni wale wenye ajenda zao binafsi hasa za unyonyaji.

Ila mwamba alikuwa poa Sana. Binafsi naamini madhara ya uzazi wa mpango ni makubwa zaidi ya faida zake.

Akina mama wanateseka Sana na side effects zake.
 
Rubbish, nenda Chato ukazikwe pembeni ya kaburi la mwehu mwezio.
 
Mfano halisi ni Germany
Hata canada kama umefatilia but they live with everything sie tunakimbilia kuwafanyia kaz since no enough man power.

Sasa africa tena mfano tu kwetu apa mmh majobless everywhere with specialities sijui watu gani tena tunatafuta
 
Sisi ni wavivu Tu hakuna sababu nyingine.

Nenda hata huko Makazini kutwa watu wanapiga soga.

China wao 1+Billion na life linasonga.

Sisi watu mil60 Tu mnachomana masindano na kutoa mimba uvivu Tu.
 
Tatizo wanazaa watoto kulea sasa ndio kunaongeza umaskini
 
Myonge mnyongeni Ila haki yake apewa. Haters wote wa magufuli ni wale wenye ajenda zao binafsi hasa za unyonyaji.

Ila mwamba alikuwa poa Sana. Binafsi naamini madhara ya uzazi wa mpango ni makubwa zaidi ya faida zake.

Akina mama wanateseka Sana na side effects zake.

Wasiozingatia uzazi wa mpango wengi ni fukara wa Mali na akili chunguza utagundua hilo
 
Kuna vitu kama viwili au vitatu vinachanganywa ndani ya huu uzi, na vimechochewa na mleta uzi kuanza kuchanganya.
Mosi, kuna issue ya uwingi au uchache (namba) wa Watanzania kulinganisha na rasilimali tulizonazo. Je, idadi yetu na ukuaji wake vinarandana na rasilimali tulizonazo? Je, tunapaswa kuongezeka? Je tunapaswa kupanga uzazi? Je tuongezeke tu kwa sababu serikali inaweza saidia kutusomeshea hizi level za chini? Vipi kuhusu mahitaji mengine kama chakula, malazi, afya, nk, je nayo utapewa na serikali? Na vipi akija rais mwingine akafuta sera ya ada bure,? Je, ukiangalia uchumi wa familia yako, vipi unaweza kwenda na watoto wangapi ukiwapatia mahitaji yao ya msingi bila shida mpaka wakafikia kujitegemea? Na tunaposema mahitaji ya msingi, mfano chakula, haimaanishi mtoto apewe chakula kitachomfanya tu asife, bali chakula kinachokidhi mahitaji ya ukuaji wake wa afya ya akili na mwili?

Pili, kuna issue ya family planning. Je ni jambo zuri au baya? Je, Tanzania, tuna uhitaji wa kupanga uzazi au family planning ni porojo? Je, Kwa vile tuna mapori ya kutosha, tunapaswa kujiachia Ili tuyajaze?

Tatu ni side effects za family planning. Ndani ya mwamvuli wa family planning kuna njia lukuki, kuanzia za asili mpaka za kisasa. Zipo zisizo na madhara kabisa, though efficiency yake ni ndogo, zipo zenye madhara kidogo na zipo zenye madhara makubwa. je ni njia ipi nzuri kwako? KUMBUKA TU KUWA NJIA ALIYOTUMIA JIRANI/NDUGU YAKO NA IKAFANYA VIZURI KWAKE, HAIMAANISHI NI LAZIMA IFANYE VIZURI NA KWAKO.

Sasa je, dhima ya mwandishi kumuunganisha hayati rais na issue hizo hapo juu ililenga nini?
 
Back
Top Bottom