A
Anonymous
Guest
Mkurugenzi wa Ilala kasema uongo. Kwanza watumishi wa mikataba ni robo tatu ya watu wa cheki namba.
Hao watumishi wa mikataba ndio wanaokusanya mapato yote ilala.
Wanalipwa mpaka sasa 340,000 na serikali ilipitisha 500,000.
Mshahara wanalipwa mpaka mwezi upinduke, kati ya tar 4, 6, au 8. Wakati mwengine mpaka tar 10.
Achana na posho ambazo wanatakiwa kupewa ila wanapewa mpaka siku waamue huko juu.
Naombeni mkachunguze hilo na majibu mtayapata.