Thread 'Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata' Uchaguzi 2020 - Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuataUasi ni neno la kiswahili likiwa na maana kamili ya kwenda kinyume na jambo.
Kuyakataa au kuhamasisha kuyakataa ya CCM na agenda zake zikiwamo za kutaka ufanyike uchaguzi wenye kuwapendelea wao, hakuwezi kuwa kosa la jinai.
View attachment 3301015
Kukinukisha dhidi ya CCM hakuwezi kuwa uhaini!
Kumbe kwa tafsiri ya ma CCM na washirika wao, kila mpinzani akiwamo bwana ubwabwa ni wahaini!
Ndiyo maana si Lissu, CHADEMA wala upinzani wananyong'onyeshwa au ati kuwa watanyong'onyeshwa na mashtaka yenye vionjo vya kisiasa kama haya yaliyowahi kuwakuta wa aina ya kina Mandela, Nyerere, Hichilema, Jomo Kenyatta, Museveni, Kagame, Salva Kiir nk na bado wakawa na rais wa nchi zao!
Mpigania uhuru yupi katika nchi yake uasi ulioitwa uhaini na walalamikiwa haukumhusu?
Haya si ndiyo yale ya kina Mwabukusi, Dk. Slaa, Mdude au kina mwamba?
Kwa sababu kama hizo CCM na washirika wao wakajifiche wapi sasa wanaponyanyapaliwa kila kona?
View attachment 3301017
View attachment 3301018
View attachment 3301020
View attachment 3301020
Uasi ni neno la kiswahili likiwa na maana kamili ya kwenda kinyume na jambo.

View attachment 3301029
View attachment 3301021

Ndiyo maana si Lissu, CHADEMA wala upinzani wananyong'onyeshwa au ati kuwa watanyong'onyeshwa na mashtaka yenye vionjo vya kisiasa kama haya yaliyowahi kuwakuta wa aina ya kina Mandela, Nyerere, Hichilema, Faye, Jomo Kenyatta, Museveni, Kagame, Salva Kiir nk na bado wakawa na rais wa nchi zao!

.. kuna wahaini wengi wanaongoza serikali huku wakipinga uhaini ..
huku ma kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah yakibubujikwa machozi ya furaha.
Inayahusu sana ma kina viwembe, ChoiceinVariable, Ritz2, vipara vipya, na mienzao Uru pale, pichani iliyouchagua na kuukumbatia vilivyo u punda utu.
View attachment 3301083
Kumekucha π³ !Uasi ni neno la kiswahili likiwa na maana kamili ya kwenda kinyume na jambo.
Kuyakataa au kuhamasisha kuyakataa ya CCM na agenda zake zikiwamo za kutaka ufanyike uchaguzi wenye kuwapendelea wao, hakuwezi kuwa kosa la jinai.
View attachment 3301015
Kukinukisha dhidi ya CCM hakuwezi kuwa uhaini!
View attachment 3301017
Kumbe kwa tafsiri ya ma CCM na washirika wao, kila mpinzani akiwamo bwana ubwabwa ni wahaini!
Ndiyo maana si Lissu, CHADEMA wala upinzani wananyong'onyeshwa au ati kuwa watanyong'onyeshwa na mashtaka yenye vionjo vya kisiasa kama haya yaliyowahi kuwakuta wa aina ya kina Mandela, Nyerere, Hichilema, Faye, Jomo Kenyatta, Museveni, Kagame, Salva Kiir nk na bado wakawa na rais wa nchi zao!
Mpigania uhuru yupi katika nchi yake uasi ulioitwa uhaini na walalamikiwa haukumhusu?
Haya si ndiyo yale ya kina Mwabukusi, Dk. Slaa, Mdude au kina mwamba?
Kwa sababu kama hizo CCM na washirika wao wakajifiche wapi sasa wanaponyanyapaliwa kila kona?
View attachment 3301029
View attachment 3301021
View attachment 3301020
Kumekucha π³ !
Ngoja Tusubiri tuone !
Kumbe Tlaatlaah jingalao Lucas Mwashambwa na wenzako wote wahaini!".. kuna wahaini wengi wanaongoza serikali huku wakipinga uhaini .."
huku ma kina Lukasi, Tlaat'laah yakibubujikwa machozi ya furaha.
ni muhim sana watuhumiwa wote wenye lengo la kuchochea chuki, fujo na vurugu kusalia kirokoroni ili kuepuka kuharibu upelelezi na uchunguzi dhidi ya uhalifu wao.
Licha ya mayowe ya wanaosahau kwamba nchi inaongozwa kwa misingi ya kisheria.
ni muhim sana watuhumiwa wote wenye lengo la kuchochea chuki, fujo na vurugu kusalia kirokoroni ili kuepuka kuharibu upelelezi na uchunguzi dhidi ya uhalifu wao.
nadhani hilo ni jambo muhimu sana wadau kulifahamu.
Asanti π
Acheni woga, kiufupi watanzania siyo wajinga tena Cha kufurahisha NRNE ishapenya nje ya mipaka Dunia ya wapenda haki wamejua Tz Kuna shida uchaguzi una shida Sasa acha tushikane mashati kitaeleweka tuLicha ya mayowe ya wanaosahau kwamba nchi inaongozwa kwa misingi ya kisheria.
Ni muhim sana wakiuka sheria wakashughulikiwa mundu khu mundu ili iwe fundisho kwa waropokaji wengineo waliojificha kwenye kufanya siasa kumbe ni vibaka na matepeli wakubwa wa kidemokrasia π
rukhsa kujifananisha na yeyote alieandikwa kwenye kanga au kitabuni, but hayupo muhalifu mkiuka sheria Tanzania ataachwa afanye anavyotaka kwa kuvunja sheria,Kwani haya siyo yale Yale ya kina Mandela, Faye, Hichilema na wenzao?
Au Yale ya kina Dk. Slaa, Mwabukusi, Mdude au Mwamba yalikwishia wapi?
Endeleeni kumpiga chura teke mkidhania mnampunguzia kasi.