Kuiasi CCM kunapoitwa uhaini, kutaendelea kumpaisha Lissu na upinzani kitaifa na hata kimataifa!

Kuiasi CCM kunapoitwa uhaini, kutaendelea kumpaisha Lissu na upinzani kitaifa na hata kimataifa!

Nchi yetu inachafuka sana.

Trends za
1. Mh Mbowe ni Gaidi
2. Dr Slaa na Adv Mwabukusi ni Wahaini
3. Mh Tundu Lissu ni Mhaini

Hii ni kuchafuana kweli kweli. Dunia itasema Rais Mwanamke wa Tanzania ni Mtawala wa Kimabavu.

Ama kwa hakika madaraka ni matamu:

GoO7bgQX0AAm-2U.jpeg
 
Naumia kweli mkuu tangu juzi najitokeza barabarani nifanye maandamano najikuta peke yangu wenye roho nzuri nyote mmejificha na id fake mtandaoni hamuonekani mtaani kwani mnaishi wapi wacheni kumkejeli lissu!

Ila somersault zako tu mwamba:

Gmvy_y4XsAAn4lO.jpeg


Uko vizuri.
 
gentleman,
samahani nitaangalia video yako baadae kidogo.

but ni muhim kuzingatia sheria bila shuruti kuepuka usumbufu wa mkono wa dola baadae. Kuropoka ropoka ni kitu mbaya sana kwenye nchi inayoongozwa kwa misingi ya kikatiba 🐒
Wasimamizi wa Sheria hizi hawakumsikia huyo aliyesema kuna chama cha siasa wamepanga kwenda kununua virus vya ebola na m-pox kuwaulia Watz??
 
Back
Top Bottom